Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili.
Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba kama tano na tayari nilipakwa mafuta ya kula aisee Ile jamaa kutaka kufanya mambo tu nikachoropoka na boxer mpaka maeneo nikachukua bajaji mpaka maskani yaani aisee wakuu jana haikuwa poa kabisa