Hakika mke wa mtu ni sumu, kilichonitokea jana siwezi kurudia tena

Hii story ni ya kutunga na kama ni ya kweli basi umeipotosha kidogo ila ni kwamba walikufirimba.

Maana kama ulishapakwa wese la kula hiyo boxer uliivaje tena? Ni kwamba wamekukula na umekipenda hicho kitendo kasi cha kuja kufungua uzi hapa.

Leo nenda kwa jamaa umchane kuwa umeelewa pigo za mafuta ya kula akufanye mkewe tu ili muwe wake wenza na demu wako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu atakuwa ni mhamasishaji wa ushoga, si ajabu kuna katafiti anafanya ili aweze kutengeneza mpango mzuri wa kuhamasisha hiyo tabia.
 
😄😄😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaan umepakwa mafuta nahawaja kufanya chochote?kwahio wakati unavaa boksa wao wanakuangalia tu🤔🤔🤔???.Mpka unakimbia unakodi bajaji wait wapo tu???
 
Huwa nashangaa mwanamke akifumaniwa badala adili na mume wake anadili na mwanamke mwenzie.
Kadhalika na mwanaume unamfumania mwanaume mwenzako unapaswa kudili na mke wako.
Naweza kuchukua hatua dhidi ya wote ikiwa nitakayemfumania ni ndugu yangu au rafiki yangu ambaye ni wazi anajua yule ni mke wangu. Hapo nachukua hatua kwa wote wawili.
 
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili.

Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba kama tano na tayari nilipakwa mafuta ya kula aisee Ile jamaa kutaka kufanya mambo tu nikachoropoka na boxer mpaka maeneo nikachukua bajaji mpaka maskani yaani aisee wakuu jana haikuwa poa kabisa
[emoji477][emoji478][emoji478][emoji477][emoji477] ya moto kabisa hii
 
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili.

Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba kama tano na tayari nilipakwa mafuta ya kula aisee Ile jamaa kutaka kufanya mambo tu nikachoropoka na boxer mpaka maeneo nikachukua bajaji mpaka maskani yaani aisee wakuu jana haikuwa poa kabisa
Acha uongo wamekupaka mafuta halafu umetoroka na boxer ulivaa sa ngap
 
Kuna mtu mfupi mweusi sana jana alipita na spidi ya fuso tulipokuwa tunapiga vikali kimara,alikuwa na boksa tu imetatuka makalioni ulikuwa ndiye wewe mleta mada?,watu walijua ni wizard kapita
 
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili.

Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba kama tano na tayari nilipakwa mafuta ya kula aisee Ile jamaa kutaka kufanya mambo tu nikachoropoka na boxer mpaka maeneo nikachukua bajaji mpaka maskani yaani aisee wakuu jana haikuwa poa kabisa
acha fiksi umeliwa
 
Back
Top Bottom