Hakika mke wa mtu ni sumu, kilichonitokea jana siwezi kurudia tena

Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili.

Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba kama tano na tayari nilipakwa mafuta ya kula aisee Ile jamaa kutaka kufanya mambo tu nikachoropoka na boxer mpaka maeneo nikachukua bajaji mpaka maskani yaani aisee wakuu jana haikuwa poa kabisa
Mjinga sana wewe. Ndio umeandika nini sasa hapa?
 
Ushakuwa mpakwa mafuta tayari.
Dah so ulikimbia huku una wese.
 
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili.

Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba kama tano na tayari nilipakwa mafuta ya kula aisee Ile jamaa kutaka kufanya mambo tu nikachoropoka na boxer mpaka maeneo nikachukua bajaji mpaka maskani yaani aisee wakuu jana haikuwa poa kabisa
Tea bila sugar...
 
Hii chai ya majan ya migomba😖
 inaukakasi
 
Kiukweli mke wa mtu ni sumu na za mwizi ni arobaini hichi ndicho kitu ambacho kimenitokea jana maeneo ya maeneo ya Kimara gest x yaaani sio poa kabisa nusura na mimi pia niwe wa upande wa pili.

Jana wakuu nusura nipigwe mambo ila tu kwakuwa nilitumia Maarifa ya mtaa nikachoropoka kwa minjemba kama tano na tayari nilipakwa mafuta ya kula aisee Ile jamaa kutaka kufanya mambo tu nikachoropoka na boxer mpaka maeneo nikachukua bajaji mpaka maskani yaani aisee wakuu jana haikuwa poa kabisa
Duu kwaiyo ulipakwa mafuta ukiwa umevaa boxer au ndo unatutangazia biashara tukupake kweli?
 
Back
Top Bottom