Hakika mke wa mtu ni sumu, kilichonitokea jana siwezi kurudia tena

Huyu muongo
 
Tulichukua video ukiwa unachoropoka👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Wewe utakua tahira
 
Babu yangu mwanajeshi alikua akinisimulia stori nyingi kipindi analitumikia jeshi kwenye vita, moja kati ya ninazokumbuka ni hii[emoji116]

Kuna siku walikamatwa na maadui wakiwa kama mtu 3 wakaambiwa wachague mawili kati ya kuuwawa au kubakwa halafu waachiliwe.

Guess what muanzisha uzi[emoji28][emoji28][emoji3516]
 
We Sema tu wamekula ila kwa mbinde [emoji1] [emoji1787]
Yaani umepambana ila ndio hivyo tena
 
poleee samaki polee wanavo kula jicho kichwa wakampa paka😂. kunatofauti kati mafuta na mafta sema ukwel tu
 
Pole sana kwa kutatuliwa marinda. Kama ulishapakwa mafuta kamwe huwezi kuchoropoka. Ni kwamba umeshatatulia marinda, hauna marinda ndugu!!!! Pole sana!!!
 
Sema jamaa umevumilia jamaa tano zmetindua marinda na bado umepata nguvu za kuja kuandika ivi ilibid sa ivi uwe hospital ila una uvumilivu
 
Mimi bado nalia na wake za watu tu, kwanini? Wanakubalia watu wakati wao wapo kwenye ndoa zao ila polee sanaa maana ungeenda kupata maumivu ambayo ungeyamisi siku ingine na kuanza kututafuta tuendeleze ili usiwe unaumia Kwa hamu ya tendo ambalo ungelifeel iyo jana
 
Nitaongea na wengi humu, najua nini ni wadogo. mkumbukeni Muumba wenu wakati bado mnayo nafasi, duniani tunapita kabisa. uzinzi ni dhambi, hata ufanye sana kuna arobaini yako utakuja kujuta tu. ajabu yake ni kwamba, watu wanaogopa waume zao au ukimwi au chochote cha dunia hii, wanashindwa kumwogopa Mungu wa mbinguni anayewaona wanavyofanya kila kitu, na anakataza hicho kitu. nilishafanya sana uzinzi, nikaja kujua kuwa namkosea sana Mungu tena kwa kuhofia wanadamu badala ya kumhofia yeye. Mungu anao uwezo kutoa dhabu kali kuliko hizo mnazoziogopa. Mwogopeni Mungu, Mwogopeni Mungu, Mumheshimu Mungu, iweni watakatifu hasa ninyi mnaobeba vyombo vya Bwana, na hata ninyi msiobeba vyombo vya Bwana jueni ya kuwa, dhambi ni uasi na usipotubu na kuacha, haitakuacha salama. Mungu awasaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…