Hakika mke wa mtu ni sumu, kilichonitokea jana siwezi kurudia tena

Hakika mke wa mtu ni sumu, kilichonitokea jana siwezi kurudia tena

Story ya kijinga ila nimecheka balaa 🤣🤣🤣
Ahsante kwa kunipunguzia mawazo kwa huu ujinga wako 🤣🤣
 
Itakuwa alipakwa mwili mzima hayo mafuta ndio akapata uwezo wa kuteleza kama huyo samaki
 
Mwenzenu hajibu comments mpaka muda usikute anasikilizia huo utelezi huko manyu[emoji1787][emoji1787]
 
Huyu mleta uzi ni muongo na hajitambui kuna siku alileta uzi akawa anawaponda wote wanaoutumia simu za infinix na Tecno kisa yeye anatumia Samsung A 22 ni limbukeni au anatafuta watu wawe wanamsafisha mfereji wa Suezi 🤒🤒🤒
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanetu usituchukue,
 
Wengi huwa hamkubali kama mlipigwa mambo, eti ushapakwa mafuta alafu uchomoke na boksa?? Wakati kadiri unavyoresist ndo inavyoingia mdo mdo ...ndo ukome
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom