Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Mke wangu anapigwa kazin mi nimezalisha nje kajua kaumia nusura kufa nani mjanja?
Yeye ndiye mjanja zaidi maana kakushikisha watoto wasio wako na bado anatoa yote huko nje akija anakupa uchafu utumie. Kapime hao wanao DNA alafu uje uvimbe hapa tena.

Hakuna mwanamke anaye umia hakika na kuambia. Wale wanaigizaga kuumia tuu ila siyo kama tunavyojua wameumia nasema hivi kwa sababu waliniambia wenyewe lazima waigize ili tuwaonee huruma
 
Kizuri huliwa na wengi
 
Sio kweli mkuu
 
Nani kakwambia, umalaya hauna cha asiye na hela wala tajiri sometimes wapo wengine wana cheat sababu tu kakorofishana na mmewe na haongwi chochote.
Tena hao ambao wakikorofishana nyumbani kupiga ni rahisi sana si anakua anatafuta faraja nje! Zile stress zinapelekea Libido kupanda kwahiyo akikutana na msela akamsoma demu vizur muda huo huo ..
Hatari sana..hakuna aliye salama
 
Mara nyingi wanawake 98% mazingira ndo huwa yanachangia ushawishi wa kuliwa.
Ona sasa hapa mfano; labda kateuliwa Mke wa mtu na msela au mme wa mtu kwenda kwenye vikao mkoani wapo wawili tu na kule watakaa 3 au 4, kwanza watafikia hotel au lodge moja asipoliwa navua watu uanachama.

Haya mfano mwingine; umeenda kupanga nyumba mpo wapangaji 4 au 3 wewe pekee ndo una Mke ndugu asipoliwa mke wako ukiwa kazini au umesafiri sijui.Tena msela anapikiwa na chakula kabisa anambiwa asipike..dadeeki...
98% wake za watu au mademu wanaliwa na ushawishi wa kimazingira.
 
πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜…πŸ€£ alafu wewe nyumbani umenyimwa zaidi ya wikiπŸ₯±πŸ₯± πŸ˜‚
 
Msitress mkeo alafu aende kazini.

Wajuba wanamsoma mkeo mood yake tokea ameingia alafu wakiona ana stress basi wanampetipeti na kumtaniatania , alafu kuna wale washenzi wanabonyeza huku kwa kiuno wake za watu kuwakera tuu, mkeoa anapigwa stata achangamke utasikia akisema wewe kaka ni heshimu ila jamaa ndo kwanza kajifyatua akili masihara mengi. muda wa lunch njemba analipia bili , anamchangamsha mkeo mpaka asahau vurugu la nyumbani alafu wanashikana mikono huku mwamba anaurusha rusha kimadaha wakirudi zao ofisini kumalizia kazi. yani ana vimba nae mpaka mkeo akifika nyumbani aone mumewe ana mbana bana na kumtesa.

Mwisho wa siku ndiyo hivyo tena mwamba anajipakulia tuu mkeo mpaka basi
 
Iko hivi

Kama unaishi na mwanamke, usijipe uhakika wa asilimia hata 50 kwamba huyo ni wako tu. Dunia hii hakuna mwanamke wa kujipa uhakika kuwa haliwi nje na wewe. Ukilifahamu na ukaliishi hili utaishi kwa raha mno
Cha muhimu tu asikamatwe na ushaidi..ila ni kujiwekea huyu atakua analiwa secretly huko nje..ishu asikamatwe.

Alafu wanaume wasijisahau sana tuwe tunachunguza nyendo za wake maana ni wasiri mno unaweza kuta jirani next door wanakulana mwaka 2 au 3. Mwisho wa siku Mimba unaletewa unashangaa mbona huyu mtoto hafanani na mtu yoyote kwenye ukoo wangu alafu unakuta katoto tabia hata kwenye ukoo wenu hakuna..

Masela wengi wanalea watoto sio wao na nguvu nyingi wanaelekeza huko kuliko damu zao zikihangaika.
 
Wanaume tukikomaa kupima DNA kila mtoto anaeletwa na mwanamke hawa viumbe watakua waangalifu sana wakienda kuliwa.

Mwanamke akifanikiwa kukukamatisha toto ambalo siyo lako kakudharau sana na anakuona mwanaume bwege vibaya mno
 
Wanaume tukikomaa kupima DNA kila mtoto anaeletwa na mwanamke hawa viumbe watakua waangalifu sana wakienda kuliwa.

Mwanamke akifanikiwa kukukamatisha toto ambalo siyo lako kakudharau sana na anakuona mwanaume bwege vibaya mno
Kabisa! Mbaya sana kubambikiwa mtoto utakuja leta conflicts utajuta kwenye maisha..unakuta demu anakula huku na huku wakiwa wanawasiliana kwa siri sana na huyo bwana wake. Hata kurogwa unaweza rogwa na kufanywa zuzu.

Hadi mwanamke kumzalia mtu sio jambo dogo inamaanisha hawajaanza leo hao.

Ndo maana naunga mkono hoja ya Kataa ndoa. Utaenjoy sana. Kama umezaa na mwanamke chukua mtoto wako kaa nae tena vizur akiwa ameshafikisha miaka 7 huyo anakua anajitambua la sivyo utakuta mtoto/watoto wako wana hali mbaya.wanasema akina mama wanalea lakini Wakina baba we know how to show love kwa watoto wetu.
 
Na sisi Bodaboda umetusahau bro.

Ogopa wife anakwambia nina bodaboda wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…