Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Yaani mnadhani kila mwanamke ana bwana ofisini?Kwani hujui ndege wa fananao huruka pamoja mkuu. Ipo hivi huyo mkeo mwajiriwa aliyetulia ana bwana ake hapo ofisini aliyetulia pia na anaye msaidia kazi za ofisini maana nyumbani unamchosha sana
@Kelsea mama where are you,you missed a lotKukigawa ni tabia. Cha muhimu ni kupata mwanamke anaejielewa awe mfanyakazi ama mama wa nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanamke mwajiriwa anayejielewa endelea kudanganya umaKukigawa ni tabia. Cha muhimu ni kupata mwanamke anaejielewa awe mfanyakazi ama mama wa nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru sana ofisini kwetu hakuna huo ujinga.Ngono maofisini imetamalaki.
Wakubwa kwa wadogo.
Uadilifu ni sifuri.....usaliti, uzinzi.
Ogopaa.Kuna Jamaa alishawahi kuleta ushuhuda humu JF kwamba kuna siku alisahau funguo yake ya mlango ikabidi aende Kazini kwa Mkewe kufuata funguo maana waligawana funguo.
Jamaa anasema ile anafika pale anamuona Mkewe anamtegea tako Mwanaume ambaye ni Mfanyakazi mwenzie alafu yule Mwanaume anapiga tako kwa mkono wake, hii ni changamoto sana kwenye ndoa zetu.
Acha wivu wewe. Unaonekana hujiaminiHakuna mwanamke mwajiriwa anayejielewa endelea kudanganya uma
Pole sana mkuuAcha wivu wewe. Unaonekana hujiamini
bahati mbaya toka amepata ajal mfumo wa uzaz ume lose hashiki mimba kuhusu uchafu sinaga muda wa kumsex japo samtaimu ananishinikiza nusura kuuana ila namkazia vp nani mjanja?Yeye ndiye mjanja zaidi maana kakushikisha watoto wasio wako na bado anatoa yote huko nje akija anakupa uchafu utumie. Kapime hao wanao DNA alafu uje uvimbe hapa tena.
Hakuna mwanamke anaye umia hakika na kuambia. Wale wanaigizaga kuumia tuu ila siyo kama tunavyojua wameumia nasema hivi kwa sababu waliniambia wenyewe lazima waigize ili tuwaonee huruma
Mi sina mke ndgu ila sio kweli hayo, eidha una maumivu au sonona au inferiority complex.Acha kujifariji mkuu. Wewe jua tuu mkeo analiwa ofisini huko japo usitake kushuhudia
Umenitoa udenda ulivyosema umemtomba choonHakuna mwanamke mwajiriwa anayejielewa endelea kudanganya uma
Wewe ndio unadanganya watu humu. Umewachunguza wote ukajua hawajielewi? Umelala nao wote ndio ukaja na hizi porojo zako? Kama mwanamke wako ni wa hovyo usijumlishe wote tafadhali pambana na hali yako kimya kimya.Hakuna mwanamke mwajiriwa anayejielewa endelea kudanganya uma
Nipo huku kijijini kwetu mshkaji wangu wa nguvu. Mambo vipi?@Kelsea mama where are you,you missed a lot
Kama unata kuwa free hukatazwi endelea kukitembeza kikojoleo sababu ni cha kwako, ila hasiingie kwenye ndoa,sababu ina principles zake.chanzo cha mateso yote ya mwanaume ni ubinafsi kuamini sifa za mtu anazo yeye tu.
Mwanaume akikubari ukweli kuwa hata mwanamke ni kiumbe kamili chenye kujitegemea katika kujimiliki, kutaman na kuhitaji, basi ataamin hata katika mapenzi nao hupenda kubadirisha ladha kama wanaume!
binadam hamilikiwi mana ana utashi binafsi iwe ana mkataba na mtu au la!
Ndoa ni zao la ubinafsi wa mwanamme na utumwa wa mwanamke!
Muhim ni uwe na mtu ukiamini ni binadam na si asset,
Uwe tayari kuwa naye na tayari kuachana naye bila madhara ya kimwili au kiakili!
Na katika yote dumisha urafiki kwa kuwa rafiki kwanza.
usitake kuvuna usichopanda.
Iheshimu nafsi ya mtu na matakwa yake.
HAKUNA MTU WA MTU! zaidi ya makaratasi.
...love responsibly
{ushuhuda: nilishuhudia mtalii wa kiume ( 55 ages) akimruhusu mkewe kufanya ngono na beachboy kwa malipo maalum akimsisitiza kijana amshughulikie style zote mkewe aridhike! hadi leo sijui huyo baba ana kanuni gani ya maisha na ndoa}
Upigwe au uliwe?,mm naona hilo neno kupigwa halijakaa vizur bwana[emoji23]Mimi Huwa nawaza Huwa hawachoki au mm tu ni mvivu [emoji2]yani upigwe kazini urudi uoshe vyombo upike upigwe tena na mumeo aisee