chanzo cha mateso yote ya mwanaume ni ubinafsi kuamini sifa za mtu anazo yeye tu.
Mwanaume akikubari ukweli kuwa hata mwanamke ni kiumbe kamili chenye kujitegemea katika kujimiliki, kutaman na kuhitaji, basi ataamin hata katika mapenzi nao hupenda kubadirisha ladha kama wanaume!
binadam hamilikiwi mana ana utashi binafsi iwe ana mkataba na mtu au la!
Ndoa ni zao la ubinafsi wa mwanamme na utumwa wa mwanamke!
Muhim ni uwe na mtu ukiamini ni binadam na si asset,
Uwe tayari kuwa naye na tayari kuachana naye bila madhara ya kimwili au kiakili!
Na katika yote dumisha urafiki kwa kuwa rafiki kwanza.
usitake kuvuna usichopanda.
Iheshimu nafsi ya mtu na matakwa yake.
HAKUNA MTU WA MTU! zaidi ya makaratasi.
...love responsibly
{ushuhuda: nilishuhudia mtalii wa kiume ( 55 ages) akimruhusu mkewe kufanya ngono na beachboy kwa malipo maalum akimsisitiza kijana amshughulikie style zote mkewe aridhike! hadi leo sijui huyo baba ana kanuni gani ya maisha na ndoa}