Wanaoa malaya waleKuna Jamaa alishawahi kuleta ushuhuda humu JF kwamba kuna siku alisahau funguo yake ya mlango ikabidi aende Kazini kwa Mkewe kufuata funguo maana waligawana funguo.
Jamaa anasema ile anafika pale anamuona Mkewe anamtegea tako Mwanaume ambaye ni Mfanyakazi mwenzie alafu yule Mwanaume anapiga tako kwa mkono wake, hii ni changamoto sana kwenye ndoa zetu.
🤣Nimekuonea hadi huruma, umeongea kwa machungu sana 😢
Ni kweli wapo hasa wale wenye hofu ya Mungu ila ni wachache sana na ni vigumu kuwajua.Wanaoa malaya wale
Wapo wanawake wametulia mbonaa
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo ulitaka waende maofisini wakiwa rafu..?? Hebu uko 😂😂😂Mkeo anadamka alafajiri na mapema hataki hata kukuandalia chai , anaenda bafuni anakua huko anaoga muda mrefu, ana weweseka kwenye kioo akijaribu nguo za hapa na pale, anajipiga manukato isivyo kawaida yani hata ukitoka nae out hawi hivyo smart mwanaume unachekacheka kumbe anamvalia vizuri mume wake wa ofisini ili muda wa lunch apendeze mbele ya mume wake wa ofisini wakati wanaongozana.
Anasifiwa huko , mumewe wa kazini anambinyabinya mataco alafu ana mwambia mwambie mumeo wa ndoa una kazi kibao utachelewa kurudi kumbe anakukazia mkeo juu ya meza za ofisi.
Hakika ni ukweli mchungu sana huu taka msitake inauma sana.
Jomba pole sana. Wewe sio mtu wa kwanza kugongewa. Hata hao mama wa nyumbani wanagongwa ukienda kazini. Mbaya zaidi utakuta anayekugongea ni muuza mkaa au yule kijana jirani yako aliye bachela. Haya maisha yanahitaji sana neema za Mungu. Kwa akili zetu utaishia kupata stress.Salamu ndugu zangu
Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele
Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby wa ofisini wenzake watamsukumizia na kumsumbua mpaka akubali kuwa na baby boy wake wa ofisini. Haya ndiyo tunayo yaona huku maofisini ndugu zangu
Enyi wanaume mliooa wanawake waajiriwa jueni jambo hili kwamba kwenye ndoa zenu hamko peke yenu, mwanamke wako aliye ajiriwa huku ofisini ana mume wake pia na wanapanga mpaka siku ya valentine days namna watakavyo nyanduana nakufurahia siku yao
**Huyo mkeo mwajiriwa aliye kua ana kusaidia ukikwama ipo siku ukweli na kuambia atakataa kukusaidia vijisenti kidogo kumbe huyu mumewe wa kazini kwake kamwambia hela ya mwanamke haina matumizi, haitumiki na haihesabiki ndani ya ndoa ni ya kwake peke yake
**Huyo mkeo ana mume wake wa ofisini anaye muomba hela na kumsimulia madudu yako unayomfanyia huko ndani ya ndoa yenu, atamuambia huyo baby wake wewe unamtesa na haumpi raha ya maisha.
**Huyo mkeo mwajiriwa ana mume wake ambae siku wakienda ziara za kikazi au kwenye semina anampa utelezi huku anakung'ong'a wewe, hakika anampea yote kuliko anavyokupea wewe huko ndani ya ndoa
**Hakika huyo mkeo muajiriwa ana mume wake ofisini anayemliwaza na kumpafuraha ambazo nyumbani ana sema hazipati , huku atabebwa, atakumbatiwa kwa mahaba mazito huku akinusa harufu ya manukato mazuri ya mume wake wa kazini si chini ya sekunde , watatoka breakfast na lunch time huku wameshikana mikono atakula kwa bili ya mumewe wa kazini tena sehemu za migahawa nzuri nzuri na wakimaliza watarudi ofisini huku akiwa na furaha tele wakipiga story za hapa na pale
**Huyo mke wako ana mume wake ambaye huku kazini watacheza na kufanya utoto wote ikiwemo kumvuta kwenye hivi viti vya matairi boss akiondoka, kutaniana na kumshikashika mpaka aloe shwaaa
**Huyo mkeo muajiriwa hakika ipo siku atachelewa kurudi nyumbani akisingizia anapiga kazi hadi overtime atasema ana extra days ila kaa ukijua yupo na mumewe wa ofisini akila maisha huku anakung'ong'a wewe mumewe wa ndoa
**Huyo mkeo mbaya zaidi akiwa ofisi moja na ex-wake kaa ukijua wewe ni geresha tuu na huyo ex wake ndiye mumewe ni vile tuu analala kwako
**Huyo mkeo mwajiriwa ipo siku atakuambia amechoka maisha haya ya mateso ili hali humtesi kumbe kapumbazwa na mumewe wa ofisini kwake
**Hakika huyo mkeo wa ndoa atakuwekea visirani, visasi, na viugomvi ugomvi ili uingie kingi mfarakane aivunje ndoa mgawane mali aweze kwenda kuenjoy na baby wake wa kazini
**Hakika huyo mkeo wako ana mume wake wakazini anaye mzuzua mpaka akuone wewe mumewe humpi uhuru na ataanza kukudai uhuru hakika.
***Ndugu zangu wanaume wanawake waliumbwa kwaajili yetu na sio sisi kwaajili yao, sasa kaa ukijua huyo mkeo wa ndoa mama watoto wako muajiriwa huku kazini kwake ana mume wake wanae kula nae maisha
Hayana kanuni maalum haya mambo.Tukiwaambia hapa oeni wanawake uneducated mnakuwa wabishi
Umemaliza kila kitu.Ukiacha kuchukulia mapenzi too serious utaishi kwa furaha
NB ndoa ni utapeli
DadeeekiKuna Jamaa alishawahi kuleta ushuhuda humu JF kwamba kuna siku alisahau funguo yake ya mlango ikabidi aende Kazini kwa Mkewe kufuata funguo maana waligawana funguo.
Jamaa anasema ile anafika pale anamuona Mkewe anamtegea tako Mwanaume ambaye ni Mfanyakazi mwenzie alafu yule Mwanaume anapiga tako kwa mkono wake, hii ni changamoto sana kwenye ndoa zetu.
SupportedEti kuna wanaume wamekubali kuwa mabwege ili mradi maisha yasonge,
wanachapiwa wanakausha mi ni bora nife mseja kuliko kuja kuuwa toto la mtu, kwa sababu hakuna mwanamke mzuri aliyewahi kunizuzua wote naonaga mafamba tu tabia na haiba ndo zitanivutia ila sio sura wala tako
Kua kwenye ndoa ni umama... Kuoa ni umama.. mwanaume unaoaje wakati mbususu zipo availableUkiacha kuchukulia mapenzi too serious utaishi kwa furaha
NB ndoa ni utapeli
Cha kwanza hakuna muaminifu ila wapo wanaojiheshimu, cha pili sio kila mwanamke yuko kama wako au ulowatafuna.Mwanamke anakua mrahisi kwa mtu anaeshinda nae muda mwingi haijalishi pesa ipo au sura ngumu ila ukizoeana tu na mwanamke asilimia za kumla ni 90%
Kwaiyo mtoa uzi yupo sahihi mfano mimi sina mvuto kwa wanawake yani nikipita apo akuna mwanamke anaweza shtuka ila wale niliozoeana nao wote nishatafunatafuna, kwaiyo uko maofisini mabalaa lazima yawepo tu akuna namna chamsingi kumbushaneni kujilinda na maradhi tu mwanamke ukimpa time yakutosha anavua chupi tu hata kwenye utani
Sent from my motorola one macro using JamiiForums mobile app
Ongeza sauti wasikieMAMBO YAKUCHAPIANA UTELEZI, NA HUU MWEZI MASHIMO YATACHIMBWA SANA
MKE WAKO YUPO KUPANGA ZAWADI YAKUMPA BEBI WAKE WA JOB SAIZI
Sent from my motorola one macro using JamiiForums mobile app
Samahan we ni mwanamke ?Wahenga walishasema samaki mmoja akioza ni wote. Hawa wanawake waliooza ndiyo hawa hawa wanao wasukumizia na kuwashauri wanawake ambao hawajaoza wawe na mabwana wa makazini na hawaruki hakika wanakubali wakiona ndiyo maisha
Fatilia utakuja kujua
NAKAZIAKugongwa ni tabia ya mtu ila wa maofisini wanaupiga mwingi..!! [emoji1787]
Alafu kuna mtu BDO ananishawishi Kbs et nioe haha... Never ever [emoji174]Salamu ndugu zangu
Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele
Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby wa ofisini wenzake watamsukumizia na kumsumbua mpaka akubali kuwa na baby boy wake wa ofisini. Haya ndiyo tunayo yaona huku maofisini ndugu zangu
Enyi wanaume mliooa wanawake waajiriwa jueni jambo hili kwamba kwenye ndoa zenu hamko peke yenu, mwanamke wako aliye ajiriwa huku ofisini ana mume wake pia na wanapanga mpaka siku ya valentine days namna watakavyo nyanduana nakufurahia siku yao
**Huyo mkeo mwajiriwa aliye kua ana kusaidia ukikwama ipo siku ukweli na kuambia atakataa kukusaidia vijisenti kidogo kumbe huyu mumewe wa kazini kwake kamwambia hela ya mwanamke haina matumizi, haitumiki na haihesabiki ndani ya ndoa ni ya kwake peke yake
**Huyo mkeo ana mume wake wa ofisini anaye muomba hela na kumsimulia madudu yako unayomfanyia huko ndani ya ndoa yenu, atamuambia huyo baby wake wewe unamtesa na haumpi raha ya maisha.
**Huyo mkeo mwajiriwa ana mume wake ambae siku wakienda ziara za kikazi au kwenye semina anampa utelezi huku anakung'ong'a wewe, hakika anampea yote kuliko anavyokupea wewe huko ndani ya ndoa
**Hakika huyo mkeo muajiriwa ana mume wake ofisini anayemliwaza na kumpafuraha ambazo nyumbani ana sema hazipati , huku atabebwa, atakumbatiwa kwa mahaba mazito huku akinusa harufu ya manukato mazuri ya mume wake wa kazini si chini ya sekunde , watatoka breakfast na lunch time huku wameshikana mikono atakula kwa bili ya mumewe wa kazini tena sehemu za migahawa nzuri nzuri na wakimaliza watarudi ofisini huku akiwa na furaha tele wakipiga story za hapa na pale
**Huyo mke wako ana mume wake ambaye huku kazini watacheza na kufanya utoto wote ikiwemo kumvuta kwenye hivi viti vya matairi boss akiondoka, kutaniana na kumshikashika mpaka aloe shwaaa
**Huyo mkeo muajiriwa hakika ipo siku atachelewa kurudi nyumbani akisingizia anapiga kazi hadi overtime atasema ana extra days ila kaa ukijua yupo na mumewe wa ofisini akila maisha huku anakung'ong'a wewe mumewe wa ndoa
**Huyo mkeo mbaya zaidi akiwa ofisi moja na ex-wake kaa ukijua wewe ni geresha tuu na huyo ex wake ndiye mumewe ni vile tuu analala kwako
**Huyo mkeo mwajiriwa ipo siku atakuambia amechoka maisha haya ya mateso ili hali humtesi kumbe kapumbazwa na mumewe wa ofisini kwake
**Hakika huyo mkeo wa ndoa atakuwekea visirani, visasi, na viugomvi ugomvi ili uingie kingi mfarakane aivunje ndoa mgawane mali aweze kwenda kuenjoy na baby wake wa kazini
**Hakika huyo mkeo wako ana mume wake wakazini anaye mzuzua mpaka akuone wewe mumewe humpi uhuru na ataanza kukudai uhuru hakika.
***Ndugu zangu wanaume wanawake waliumbwa kwaajili yetu na sio sisi kwaajili yao, sasa kaa ukijua huyo mkeo wa ndoa mama watoto wako muajiriwa huku kazini kwake ana mume wake wanae kula nae maisha
Kama wewe ni wakike weka namba yako PM nitakupa jibu lakoSamahan we ni mwanamke ?
Unaelezeaje tabia zao ikiwa wewe sio mmoja wao ?Kama wewe ni wakike weka namba yako PM nitakupa jibu lako
Waache watakuwa wanapima oilMkipima ngoma kabla ya kuoana inatakiwa mpimane kila mwezi ndani ya ndoa. Kama mshahara