Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

Ok. Wake za watu mnagonga,hamuoni shida. Wenu au mademu zenu wakifanyiwa,mnalalamika. Au mnaliwa kiboga wenyewe.
Yaani hii nayo sifa! Kazi kweli kweli
 
Ni ngumu sana watu kuelewa hili sababu wanahusisha umama wa nyumbani na uaminifu.
 
Mwanamke anapaswa kuwa mama wa nyumbani tu, na siyo kwenda kufanya kazi maofisini. Wazee wetu toka zamani waliliona hilo mapema, ndiyo maana hawakuona umuhimu wa kumsomesha mwanamke. Ni vema kumfungulia mwanamke biashara yake ya bidhaa fulani lakini siyo kumruhusu kuajiriwa na kwenda kufanya kazi maofisini.
 
haya yote uliyoandika tunayajua,lakini hatuna la kufanya,na hatuwezi kuwakataza wake zetu wasifanye kazi,na hata wakiwa ni wa mama wa nyumbani bado wataliwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka Na nusu tangu yanikute unavyosema yamenitokea yote hivo hivo
Mke wako anaitwa nani, kwani hata mimi nina mwaka na nusu hivi toka niachane na mke wa mtu aliyenitongoza mwenyewe na baadaye kukamatwa na mumewe kisha kupewa talaka.Huyu mwanamke nilimwabiaga kuwa nina mke na familia yangu lakini akanilazimisha kuwa naye kwamba hata yeye kaolewa ila kimagumashi tu lakini ananielewa mimi zaidi.
 
Kuna miamba na mifeminist itasema, "Mwanamke hata asipokua anafanya kazi atachapwa hata na boda boda! Cha msingi oa mwanamke mfanyakazi anaejitambua msioe wanawake malaya!!!"

Natafuta sana hii comment siioni. Lakini najua wapo maboya watakuja kusema hivyo.

Kitu wasichokijua ni kwamba mwanamke ni kiumbe dhaifu sana hivyo wewe mwanaume haupaswi kumuweka katika mazingira ya vishawishi vya kukutana mara kwa mara na wanaume. Atachapwa tu hata kama hana chembe za umalaya!!!
 
Wewe Acha tu!! Wakienda semina au kusahihisha mutihani ma-x ndio wanachukuwa usukani. Wewe ukibaki nyumbani itabidi House girl akuhudumie. Nilifanya uchunguzi wa kina nikagundua wanawake wana "vidumu".
Ngoja Kwanza mkuu kwenye kusahihisha mitihani si huwa wanakaa sehemu ambayo ni ya Siri na hakuna kitu kingine kinachoendelea zaidi ya kusahisha mitihani na wanakuwa busy asubuh mpka usiku SAA moja hivi , pia wanakaa camp na kutenganishwa according to gender.kwenye mitihani sio rahisi mkuu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakini bora kazini hutochoreka maana hakuna anaekujua kazini kwao kuliko mwanamke golikipa unakuta muuza genge anakutwangia mkeo alafu asubuhi unasalimiana nae "Za Asubuhi" 😁
Unajiliwaza, hakuna bora hapo maana huyo wakazini nae pia anaishi mtaani kwa hao wauza genge, so yeye atakua anagongwa mtaani na ofisini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…