MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Watu ni wale wale... wawe ofisini au majumbani. Nimefanya kazi na watu wanajiheshimu na malaya pia. Nina uhakika hao malaya hata ungefungia ndani, wangepitiwa tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 jiwe ni noma sana , tufanze kazi , tufanze kazi kweri kweri by jiweNasema Uongo Ndugu Zangu?
Ndiyo Ukweli Na Msema Kweli Ni Mpenzi Wa Mungu
Tumechezewa Sana Ndugu Zangu
Tumeliwa Mno Ndugu Zangu
By Jiwe
Ipo report ilitoka last year inaonyesha maambukizi mengi mapya yapo miongoni mwa wanandoa kuliko watu wasio na attachment yoyote.Mkipima ngoma kabla ya kuoana inatakiwa mpimane kila mwezi ndani ya ndoa. Kama mshahara
Hilo sawa ila ni Kwa mwanamke mwenye Akili.Na wengi tunamjua wanazakushikiwa na wanasikiza ushauri wa kipuuzi kutoka Kwa mashoga zaomalaya ni malaya tuh. awe wa ofisini awe wa nyumbani awe dukani. mwanamke mwenye hofu ya Mungu hawezi fanya zinaa. Mwanaume mzinifu anapata mwanamke mzinifu.
Hilo sawa ila ni Kwa mwanamke mwenye Akili tu.Na wengi tunamjua wanazakushikiwa na wanasikiza ushauri wa kipuuzi kutoka Kwa mashoga zaomalaya ni malaya tuh. awe wa ofisini awe wa nyumbani awe dukani. mwanamke mwenye hofu ya Mungu hawezi fanya zinaa. Mwanaume mzinifu anapata mwanamke mzinifu.
Ipo report ilitoka last year inaonyesha maambukizi mengi mapya yapo miongoni mwa wanandoa kuliko watu wasio na attachment yoyote.Mkipima ngoma kabla ya kuoana inatakiwa mpimane kila mwezi ndani ya ndoa. Kama mshahara
🤣🤣🤣Mkipima ngoma kabla ya kuoana inatakiwa mpimane kila mwezi ndani ya ndoa. Kama mshahara
🤝🤝Bottom line"hofu ya Mungu"malaya ni malaya tuh. awe wa ofisini awe wa nyumbani awe dukani. mwanamke mwenye hofu ya Mungu hawezi fanya zinaa. Mwanaume mzinifu anapata mwanamke mzinifu.
Ni ngumu sana kumkamata ugoni au kumla kiboga staff anaemla mkeo.Ok. Wake za watu mnagonga,hamuoni shida. Wenu au mademu zenu wakifanyiwa,mnalalamika. Au mnaliwa kiboga wenyewe.
Yaani hii nayo sifa! Kazi kweli kweli
Soma huku unamtungi wa whine au spirit pembeni na maji baridi maana huu ndiyo ukweli ambao wanaume hatutaki kuusikiakuna nyuzi ukisoma unaweza kuchanganyikiwa
Mwanamke anaefanya kazi huwa ana hadhi yake, Huwa haliwi na watu wa hovyo... We kubali tu mwenye kigenge anakubondea mkeo utulieUnajiliwaza, hakuna bora hapo maana huyo wakazini nae pia anaishi mtaani kwa hao wauza genge, so yeye atakua anagongwa mtaani na ofisini.
Pole sanaMwaka na nusu tangu yanikute unavyosema yamenitokea yote hivyo hivyo.
Huyu kijana anaona mambo haya mapya wakati yapo enzi na enziWale waliokubali kuliwa waache waliwe na wewe wa kwako ana Liwa na nani?