Michembe MITAMU
Member
- Feb 6, 2024
- 7
- 15
mimi ni nani hata nikatae? tena hakuna mke wa mtu mgumu mbele ya boss wake
kwanza wanawake huona sifa akitongwa na boss wake.
wengine wanawaringishia wanawake wenzao kutoka kimapenzi na wafanyakazi wenzao.