Hakika Ruben, unachofanya sio comedy bali ni udhalilishaji kwa wanawake

Acha unafiq unajidai "tuwapotezee tusiwajadili tusiwape umaaarudu"ilhal ndo kinara wa mada hizo πŸ˜…πŸ˜…ticha bana
Kazi ya kulea pekeako haikutoshi unaongeza na zingine eehh
Haya byeeeeeee enjoy the space
 
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ kabisa hata kwenye shughuli nyingi mjini za wanawake mashoga kama wotee na sare wanavaa .
 
Sasa pale unauliza nn?? Wakati mie nimeuliza nipewe jibu.

Km hukuelewa ungerudia kusoma, ni vile uko bitter na mie bas unajiskia raha kunichoshaa, yaan usiponichokoza hujisikii amani wee kiumbe khaaah
Bitter na wewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Una hoja , usikilizwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…