Hakika, tunahitaji kina Kweka wengi kwenye ndoa

Eti ni kweli making ni za baba wa mwanamke mpk hilo ghorofa?
Mambo yashakua mengi
 
Mkuu siyo kila mtu ana emotional intelligence. Kwakua hatukuwepo wakati hayo yametokea, si ajabu huyo marehemu alikua anamtolea maneno ya shobo, mwamba akaamua kutumia kifaa chake ambacho kimekosa matumizi kwa muda mrefu.
 
Yatakuja kuongelewa tu siku. Sasa hivi hayaongelewi yanaongelewa hati ya nyumba kwanza. Baada ya muda tutajua kwanini walikuwa na migogoro isiyoisha.
Ila sisi ambao tupo kwenye maeneo ambao wenyewe ndio wanakuja kujiachia, tunamfahamu vyema .
Mmh mbona kule insta nimeona waja walikua live mambo ni mengi sn ....mpk kutoa siri kuwa huyo dada baba yake yuko vzr mpk huko moshi ana ma- ghorofa mpk ht hilo wanaloishi??
Swali langu kwann uhangqike na mali za ukweni?au wametupangq?
 
Mkuu siyo kila mtu ana emotional intelligence. Kwakua hatukuwepo wakati hayo yametokea, si ajabu huyo marehemu alikua anamtolea maneno ya shobo, mwamba akaamua kutumia kifaa chake ambacho kimekosa matumizi kwa muda mrefu.
Ni kweli R.I.P JANE URASSA

POLE NYINGI KWA WATOTO.... NDUGU JAMAA NA MARAFIKI

MUNGU AMSAIDIE PIA KWEKA KWENYE MAAMUZI YA KISHERIA NA UGONJWA UNAOMSUMBUA...
 
Halafu watu wanashangilia eti km sio ufala ni nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…