Hakika Uchawi Upo: Nimeutumia kwenye Kesi yangu mahakamani na Nimeshinda

Kwa kulipa 30,000 na hayo masharti umeshaingizwa kwenye maagano ya giza. Bado kuna gharama utazilipia zaidi ni swala la muda tu!
Mbona nilishamalizana nae na pesa nishalipwa.

Ila nilikuja kushare humu kama "Testimony" kwamba Uchawi upo.

1. Maagano gani kuamini Imani za kale za babu zetu?

2. Hivi unajua ungezaliwa mwaka 1700 huku ungekuwa mpiga ramli wa chifu?

3. Na umekuwa mkristo kwasababu ya kuzaliwa na hao wazazi, what if ungezaliwa na shekhe Simba?

4. After all ULITAKA NIMUACHE ANIDHULUMU?

#YNWA
 
Hebu kaa mbali na sisi bwana...
Wew ulijuaje kwamba ulishinda sababu ya uchawi ?
Mandingo ya mganga.
Wakati mwingine mkumbukeni basi Allah kuwa yupo hata kama hamuamini uwepo wake
Mungu ndio yupo kwa wakristo, wa Imani za asili, Hindus, mabohora, kurdi, Rasta farians, E.t.c.

Tatizo lako unataka tuamini MUNGU NI ALLAH tu ila sio YEHOVA, JAH, KRISHNA na kutoka kwa NABII HUSEIN.

#YNWA
 
Vipi ulilipwa pesa zako
 
Sio kila anaejiita Mkristo basi ndio Imani aliyoanza nayo toka utotoni.
Mimi nimesoma sio mfata mikumbo kama wewe.

Usilete maswali za Kidini sanaaa maana hili sio jukwaa husika.

Endelea na Ushirikiana wako wewe mchawi mkubwa tuone utakufikisha wapi.
Wewe ndo ungekua mganga wa kienyeji kidogo ningeona shida yako si kubwa sana, lakini kwa vile wewe ni mteja wa washirikina wewe ni Mpumbavu wa kwanza 🤣🤣🤣
 

Amen.

Nikushauri:- unapo tetea hoja kokote na mahali popote usipende kabisaa kutumia PESSIMISM WORLDS.

Sisi ni vijana na dunia imetufundisha mengi, Tuache haya NEGATIVE WORLDS kwa walevi.

#YNWA
 
Amen.

Nikushauri:- unapo tetea hoja kokote na mahali popote usipende kabisaa kutumia PESSIMISM WORLDS.

Sisi ni vijana na dunia imetufundisha mengi, Tuache haya NEGATIVE WORLDS kwa walevi.

#YNWA
Kama kila mtu Akiloga ni nani atakae shinda..?
Nashangaa sana kuona kijana kama wewe unatetea washirikina kuwa wanafanya kazi ya Mungu.
wakati inaeleweka kabisa sio watu wAZURI.

Nasimama na kunena kama Nabii..
"Katika uovu wako uliotenda; usipotubu hakika utakufa wewe"
 
Mzee unaamini kwenye ndumba lakini sio kwenye kuoa
 
Huyu mbwa alitaka kuzulumu Yatima.

Ila kanifundisha jambo "PESA HAZITAKI URAFIKI"

Hayo mambo ya partnership tuwaachie wazungu na waarabu.

#YNWA
Ndiyo umetambua leo mkuu? Huku Afrika uaminifu ni mdogo mno. Hayo mambo ya co-ownership weupe wanayaweza. Na ndiyo maana kijana akiwa na idea au mtaji anasita kuwashirikisha vijana wenzake kutokana na mambo ya kipuuzi kama haya.
 
Nipe connection mkuu,anifanyie mambo nikuteke
 
Du
Na wewe umelaaniwa, kwa kuwa unamtegemea mwanadamu:
★Doctor
★Nurse
★Mwalimu
★Mchungaji
★Boss/mwajiri
★Mteja
★Jirani
★Dereva
★N.k

Wote hao ni wanadamu na LAZIMA UWATEGEMEE kwa namna 1 au nyingine
Duh! Jibu zuri la KARNE
 
Mkuu nahitaji kulipwa au kurudishiwa Mali zangu tu naomba namba ya BABU tafadhali.
Iko hivi....
Wapo wachungaji matapeli NADHANI UNAWAJUA,
wapo mashekhe waongo NADHANI UMEWASIKIA,
Wapo Waganga matapeli NDIO HAO ULIOKUTANA NAO,

Kifupi kila jambo na taaluma kuna waongo wasiojua nini wanafanya na WENYE UJUZI WAO.

#YNWA
 
Kama kila mtu Akiloga ni nani atakae shinda..?
Nashangaa sana kuona kijana kama wewe unatetea washirikina kuwa wanafanya kazi ya Mungu.
wakati inaeleweka kabisa sio watu wAZURI.
ULITAKA niwaache wanidhulumu?
In fact kwa anaye enda kwa mganga kwasababu nzuri basi HAKUNA SHIDA.

Nimedhulumiwa, nikienda kuzirudisha pesa zangu Kuna ubaya?
Mtu kwa wivu kaniroga, nikienda kujiagua Kuna ubaya?
Nasimama na kunena kama Nabii..
Kesho utaanza kuhitaji sadaka, maana hamkawii 😂😂😂
"Katika uovu wako uliotenda; usipotubu hakika utakufa wewe"
Kila nafsi ITAONJA MAUTI.

Kwahiyo wakina Kinjekitile gwale na Mkwawa walioua wazungu kwasababu ya kuleta dini WALITUBU?

Wale Wazee wako wa miaka hiyo kabla ya kuja kwa wazungu, UMEWAFUFUA WATUBU?

#YNWA
 
Jf wote watakatifu,hawarogi,hawaendi kwa waganga na hawafanyi shiriki...!!!
Amini uaminicho Ila maimpopoe mtoa mada
 
Ulilipwa?
 
Oya uyo babu niunganishe nae bhana maana hali ni tete mtaani
 
Pesa inatufanya sisi wanaume tuheshimike kwenye jamii.
Nimejifunza ktk haya maisha hautakiwi kuwa myonge na mtu wa kulialia.
Kuna fala mmoja mnadai, namsubiri ajichanganye ni mtoe kafara. Huyu nitamfungia safari hadi Kongo kwa mzee chibaronda.
Huwezi kula hela ya mwanaume kizembe hivyo
Mzee baba kauli mbiu yangu "USICHEZE NA HELA ZANGU"

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…