Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
mkuu habari, naomba unitajie matajiri wanne wa kibongo waliokufa kwa huo mpira wa jiweHuo ugonjwa haueleweki hadi wenye pesa uliwaondoa.
Halafu kama umelewa vile unaenda mbele then unarudi nyuma..πKumbe unapita kimyakimya ππ
Upo sahihi. Nilipaswa kusema kaishi na VVU miaka 32. Hajawahi kupata UKIMWI.Hana
Tunazungumzia matajiri, siyo watoto wa matajiri.Mutie Mengi alikuwa maskini?
Unadhani.....Nadhani hakuwa nao. Alifanya vile ili kuepuka wanawake. Maana alikuwa mtu wa wanawake kweli.
Sijaelewa hdpa
Kama habari yenyewe ndo hii basi kazi ipo ππππHalafu kama umelewa vile unaenda mbele then unarudi nyuma..π
Toto angalia komenti ya juu yako umeyatimba...πKama habari yenyewe ndo hii basi kazi ipo ππππ
Easy E tena ndio mwanzilish wa saggingβ¦mhuni wa wahuniEazy E na Freddy Mercury walikuwa maskini?
Ipi hiyo πππToto angalia komenti ya juu yako umeyatimba...π
Yani wewe π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πMbona hata aliecomment chini yangu anao siku nyingi
Hiyo uliyonijibu Mimi uliyosema kama habari yenyewe ndo hii...Ipi hiyo πππ
Ushaunasa kumbe.. na ulivyo kimyakimya hata hausemi ili tujivae tu..πYani wewe π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π
Maka weee,Kama habari yenyewe ndo hii basi kazi ipo ππππ