Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Kama ukimwi ni ugonjwa wa masikini. Inakuaje huyo bilionaire anao ukimwi?😁😁Huyu mcheza kikapu maarufu ambaye hivi juzi ametangazwa kuwa bilionea ameishi na ngoma kw miaka 32. Aligundulika na UKIMWI mwaka 1991. Akatangaza hadharani kuwa kaukwaa. Hadi leo mwaka wa 32, akiwa na miaka 64 bado anadunda nao. Tajiri hafi kwa ngoma.
View attachment 2800302
Soma ulichoandika. Umeelewa hata wewe?