Hakika UKIMWI ni ugonjwa wa maskini. Magic Johnson kaishi nao miaka 32

Aisee
Kwahiyo ndo dkawa na huyo shoga?
 
asa kwanini hawakuonyeshwa na wasichana🤔

Kibailojia mwanaume ndio huwaka tamaa kuliko mwanamke. Hivyo ukimdhibiti mwanaume katika kuongoza tamaa zake utakuwa umepunguza Ngoma. Baada ya kuangalia ile sinema nilijiambia sitawahi kuongea na mwanamke Tena. Ila ndio hivyo mapenzi yana nguvu kuliko maji.
 
Ni kweli, ila napima makali ya VVU kipindi kile na Sasa napata shida kuamini Kama Magic alikuwa nao.
Sidhani kwamba makali ya VVU yanabadilika, ni binadamu ndio wsmavumbua mbinu za kukabiliana nao, na hao wenzetu huduma zilianza mapema.

Lakini vilevile, kama mtu mifumo ya mwili iko vizuri anaweza akakaa na VVU bila dawa, hata miaka zaidi ya 10 bila kinga kushuka.
 
I wish kungekuwepo hata na movies ambazo waliigiza hao watu wa zamani ili vijana tuonyeshwe,.. maana vijana wa sikuizi wanapuuza sana mambo
Ipo sinema maarufu ya UKIMWI enzi hizo jina maarufu hata kwa wasiosoma ni AIDS.
Walionesha mziki ulivyo maliza vijiji Kagera huko.
Dalili kama alizotaja toughlendon_1
Acha tu.

Binadamu wabishi. Tuliwekewa shuleni ilpoisha watu kama 5 hivi usiku huo huo wakaenda kumpiga mtungo dada mmoja. Boarding schools miaka hiyo.
 
Hao wanafunzi walikua wameshindikana aisee😃
 
Hapo sawa, nimekuelewa
 
Ahahaha noma saaaaana man vijana hawaelewi
 
Yaaah vijana hawa sikuiz hawajawah ona mtu ana ngwengwe bakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…