Hakika Waislamu wana gharama na taratibu rahisi sana katika masuala ya ndoa

wala hajapigwa,iyo pesa mbona ndogo kuna baadhi ya familia za kiislamu mahari inapita iyo,na mtu unatoa kiroho safi tu
ni kweli....yupo mtoto wa ami yangu jamaa kadaiwa M 5 na katoa bila kupingwa yan
 
Inshort kwa Zanzibar ya sasa minimum mahar ni M 1.5 ila mara nyingi inazidi kuanzia M 2 na kuendelea

wapo waliobahatika chini ya hapo lkn ni wachache sana

Ukitaka kuoa utaambiwa ununue furniture Kitanda, kabati na dressing kama mahari, ukipiga hesabu kwa Zenji vitu quality utapata kwa jumla ya M 1.8 na zaidi
 
Alaf unakuta wahun wameisha kusaidia kumfumua malinda
Unajuwa unaweza kuwa umechanganya mahari ambao bibi harusi anapokea na kuna pesa unalipa lump sum ili inunue mahitaji yote ya bibi harusi kama mavazi na urembo kwa ajili ya bibi harusi. Kuna wengine wanatoa mahari lakini wanaita sanduku anatoa bwana harusi kwa hiyo ni yale makubaliano tu maana mwisho wa siku bibi harusi anamahitaji kama mwanamke nayo yana gharama.
 
Hakuna dini nlikuwa naichukia kama uislam, sababu hiyo ilinifanya nianze kuufuatilia sana ili kujiridhisha na nlichokuwa nakisikia na kukiona. Cha ajabu kwa sasa mimi ni mwislam bado kusilim tu. Uislam ndo dini ya kweli ya mwenyezi Mungu ambayo inafanya mambo yake kama Mungu alivyoagiza
 
Za wakristo unaziona zinadumu kwakuwa mnatakiwa imani yao ni mpaka kifo kiwatenganishe. Unafikiri wangekuwa na option ya kuachana hali ingekuwa kama hii.
Option ya talaka ipo tatzo ni masharti yake
 
kwel mzee ata mm nmeona sema ndo nshazitoa
kwenye hiyo pesa usikute wamejumuisha hadi pesa ya mambo ya milamila kama kaniki, kofia, kiko na vitenge vya mabibi na mababu wakati kiuhalisia sheria za Waislamu hazikubaliani na mambo hayo wenyewe huita BIDA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…