Hakika Waislamu wana gharama na taratibu rahisi sana katika masuala ya ndoa

Za wakristo unaziona zinadumu kwakuwa mnatakiwa imani yao ni mpaka kifo kiwatenganishe. Unafikiri wangekuwa na option ya kuachana hali ingekuwa kama hii.
Utaratibu huu wa mpaka kifo aisee hutugharimu Wakristo wengi na mara nyingi kibri cha wanawake huanziaga hapa kwakufahamu kuwa hakuna "U-turn"
 
Asalamu alaykum wana jukwaa pendwa la MMU natumai wote mubuheri wa afya.

Awali ya yote niwape hongera za dhati Waislam kwa utaratibu mzuri kuanzia kwenye posa yaani kuchumbia, ndoa na sherehe ya ndoa.
Nimeshuhudia haya kwa majirani, marafiki, jamaa na wafanyakazi wenzangu.

Tukianza na posa/kuchumbia gharama inarange elfu 20 hadi 50 hapa hamna mbwembwe za sherehe wala nini. Nina ushuhuda kwa jamaa yangu aliyeposa kwa elfu 30 tu na posa ikakubaliwa.

Kuhusu mahari hawa wenzetu bint muolewaji ndio anaetamka gharama ya mahari yake na mara nyingi gharama ni kati ya laki tano hadi milioni moja, na hapo ukiona inazidigi hadi milioni ujue ni kwasabubu ya vitu vya kimila na kitamaduni vya familia/kabila la huyo bint, vitu kama fimbo na kofia ya babu ama vitenge vya bibi n.k.
Ila sitosahau kuna mfanyakazi mwenzetu hapa alioa kwa mahari ya "MASAHAFU" yaani kile kitabu cha KURAANI chenye gharama ya elfu 25.

Ukija kwenye sherehe ya ndoa sasa kusherekea ni siku ile ya ndoa tu hakuna mlolongo wa michango na masherehe
Siyo ndoa tu hata mambo ya misiba na mazishi! Waislam wanaongozwa na mafundisho(na Hadith) za Mtume, lakini pia Quran Tukufu! Upande wa pili sina hakika maana hata MKUU husika hakuwahi kuoa.
 
Umasikini tu na kupenda kwao ngono.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Waislamu wenyewe wanamini kuwa ndoa yenye mahari ndogo ndio huwa na baraka mbele ya Mungu kuliko ndoa yenye mahari kubwa, maana mahari kubwa inakua kama bint amenunuliwa vile.

Pia wanamini katika imani yao kuwa kuchelewesha ndoa yaweza kusababisha vijana wakawa wazinzi na kuzaa watoto wa nje ya ndoa hivyo wazazi hurahisisha mambo kwa kupunguza gharama ili ndoa ifanyike kwa haraka na wazazi kuepuka kuwa sababu ya dhambi hiyo mbele ya Mungu.
 
Siyo ndoa tu hata mambo ya misiba na mazishi! Waislam wanaongozwa na mafundisho(na Hadith) za Mtume, lakini pia Quran Tukufu! Upande wa pili sina hakika maana hata MKUU husika hakuwahi kuoa.
Mkuu kwenye mazishi ngoja nianze kufuatilia then nitakuja na uzi maana huwa sipendagi kujadili kitu ambacho sina taarifa zake kwa undani zaidi.
 
Ongelea Uislam usiongelee Muislaam.

Jipime...

Average minds discuss events, poor minds discuss people, great minds discuss ideas.
Hivi unawezaje kuongelea Uislamu bila kuongelea Waislamu (Mtume wenu, Maswahaba wake mtume, Maimamu, Masheikh na Waumini).

Hivyo wewe kama Mumini hebu tueleze japo kwa uchache katika hili la uchumba na ndoa katika Uislamu wako.
 
Ni kweli, ndoa zao hazina mbwembwe

Kuna couple class tulivyomaliza mtihani wa mwisho UE tukaunga kwenye ndoa ya
Mkuu swala la gharama ni mipango baina ya familia mbili, waoaji na waolewaji.

Nina ushuhuda wa mshikaji wangu alioa ndoa ya kikristo kabsa na gharama yake haikuzidi hata 2ml (mahali ,posa na sherehe)

Gharama hua zinakua kubwa kwa kutaka show off. So kaa ukijua dini sio tatzo mkuu fikiria tu nje ya box.
Hata kuachana ni rajosi kwanini?
 
Na ni rahisi kuivunja vilevile gentleman contract
Ina furaha gani kuwa na mtu kwenye ndoa wakati nafsi hazitaki?Kuna raha gani ya kubanwa na maandiko wakati mmeshaachana?ina leta faraja gani kuwa kwenye ndoa hadi kuuana kwa sababu kuachana haiwezekani?

Imeandikwa ndoa mpaka kifo au uzinzi,wakristo wangapi wapo kwenye ndoa na ni wazinzi?Hii ,maana yake hata kama hujakamatwa ukizini tu kisirisiri ndoa inavunjika.Mnaishi kwenye adha,mateso,na kadhia kadha wa kadha.
 
Uislam ni mfumo mzima wa maisha. kifupi uislam haujaacha kitu, uislam umeeleza, siasa, jamii, etc. Dini zingine hazipo hivyo, wanakaa na kuamua lolote wanalotaka. angalia hata kwenye mazishi yao, kiongozi au tajiri atawekewa tiles kali, zege juu, na sasa wana kitu cha kuslide juu kama kiongozi wetu alivofanyiwa. uislam hata uwe bilonea kiasi gani, hata uwe kiongozi wa dunia gani, kaburi lako ni sawa tu na mtu ambae hata kula yake ya siku ni shida.
 
Asalamu alaykum wanajukwaa pendwa la MMU natumai wote mubuheri wa afya.

Awali ya yote niwape hongera za dhati Waislam kwa utaratibu mzuri kuanzia kwenye posa yaani kuchumbia, ndoa na sherehe ya ndoa. Nimeshuhudia haya kwa majirani, marafiki, jamaa na wafanyakazi wenzangu.

Tukianza na posa/kuchumbia gharama inarange elfu 20 hadi 50 hapa hamna mbwembwe za sherehe wala nini. Nina ushuhuda kwa jamaa yangu aliyeposa kwa elfu 30 tu na posa ikakubaliwa.

Kuhusu mahari hawa wenzetu bint muolewaji ndio anaetamka gharama ya mahari yake na mara nyingi gharama ni kati ya laki tano hadi milioni moja, na hapo ukiona inazidigi hadi milioni ujue ni kwasabubu ya vitu vya kimila na kitamaduni vya familia/kabila la huyo bint, vitu kama fimbo na kofia ya babu ama vitenge vya bibi n.k.

Ila sitosahau kuna mfanyakazi mwenzetu hapa alioa kwa mahari ya "MASAHAFU" yaani kile kitabu cha KURAANI chenye gharama ya elfu 25.

Ukija kwenye sherehe ya ndoa sasa kusherekea ni siku ile ya ndoa tu hakuna mlolongo wa michango na masherehe
Hii ni kweli natamani side b tunvekuwa hivyo.

kuna njia nyembamba na pana, chagua
 
Kazi ipo kwetu sisi waoaji wenyewe wa kiislam [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina furaha gani kuwa na mtu kwenye ndoa wakati nafsi hazitaki?Kuna raha gani ya kubanwa na maandiko wakati mmeshaachana?ina leta faraja gani kuwa kwenye ndoa hadi kuuana kwa sababu kuachana haiwezekani?Imeandikwa ndoa mpaka kifo au uzinzi,wakristo wangapi wapo kwenye ndoa na ni wazinzi?Hii ,maana yake hata kama hujakamatwa ukizini tu kisirisiri ndoa inavunjika.Mnaishi kwenye adha,mateso,na kadhia kadha wa kadha.
Wakristu we acha tu ndio maana ata ndoa zetu had kufikia hatua ya kuoana inabidi muwe mmeridhiana, mmechunguzana na kukubaliana na changamoto kama hizo. Swala la kuachana lipo mikononi mwa wausika wenyewe ninawezekana tatizo linalofanya wengi washindwe kutalakiana kirahisi ni kuwa talaka ya kikristu haina reverse ukitoa umetoa hakuna kurudiana tena haijalishi ameolewa akaachika ama kapendeza
 
Mkuu,hakuna permanent status kwenye maisha ya binadamu.Una mchunguza leo,kesho anabadilika anakuwa tofauti na leo.Huwa kwa mfano wewe unachunguza kitu gani naomba ukiweke hapa,maana wananwake wengi hupenda kusema namchunguza,huwa mnachunguza kitu gani?
 
Mm bado sijaoa ila mienendo ya mtu hii huwa naichunguza kwa dem ata kabla yakuwamtokea
 
Back
Top Bottom