Hakika Waislamu wana gharama na taratibu rahisi sana katika masuala ya ndoa

Hakika Waislamu wana gharama na taratibu rahisi sana katika masuala ya ndoa

Mkuu,hakuna permanent status kwenye maisha ya binadamu.Una mchunguza leo,kesho anabadilika anakuwa tofauti na leo.Huwa kwa mfano wewe unachunguza kitu gani naomba ukiweke hapa,maana wananwake wengi hupenda kusema namchunguza,huwa mnachunguza kitu gani?
Hahaha unataka aweke vigezo wamuibukie PM
 
uislam ni mfumo mzima wa maisha. kifupi uislam haujaacha kitu, uislam umeeleza, siasa, jamii, etc. Dini zingine hazipo hivyo, wanakaa na kuamua lolote wanalotaka. angalia hata kwenye mazishi yao, kiongozi au tajiri atawekewa tiles kali, zege juu, na sasa wana kitu cha kuslide juu kama kiongozi wetu alivofanyiwa. uislam hata uwe bilonea kiasi gani, hata uwe kiongozi wa dunia gani, kaburi lako ni sawa tu na mtu ambae hata kula yake ya siku ni shida.
Na ndio pia katika kuswali,hukai swafu ya mbele kwa sababu ya cheo,mali,au daraja.Anayekutangulia msikitini anakuwa swafu ya mbele wewe unakuwa swafu ya nyuma. Ukimkuta mtu anaswali peke yake unakuwa maamuna na utajiri wako, mali zako na daraja yako, hawezi kurudi nyuma uwe imaam yeye awe maamuma.Kufunga hali kadhalika ni sawa kwa wote ili tujue njaa ni nini kwetu.
 
Na ndio pia katika kuswali,hukai swafu ya mbele kwa sababu ya cheo,mali,au daraja.Anayekutangulia msikitini anakuwa swafu ya mbele wewe unakuwa swafu ya nyuma.Ukimkuta mtu anaswali peke yake unakuwa maamuna na utajiri wako,mali zako na daraja yako,hawezi kurudi nyuma uwe imaam yeye awe maamuma.Kufunga hali kadhalika ni sawa kwa wote ili tujue njaa ni nini kwetu.
Hapo kwenye swala ndio kabisa, lugha moja, actvity ni moja, kila kitu ni uniforme duniani kote.
 
Ndoa zao hazidumu ni bandika bandua
Ndio maana pia lifespan yao ni kubwa na heshima ya ndoa ipo. huko upande wa pili hata ukiskia mkeo analeta mtu ndani inabidi uishi nae tu na mwananamke atafanya anavyotaka sababu anajua huwezi muacha
 
Back
Top Bottom