Hakika Waislamu wana gharama na taratibu rahisi sana katika masuala ya ndoa

Hahaha unataka aweke vigezo wamuibukie PM
 
Na ndio pia katika kuswali,hukai swafu ya mbele kwa sababu ya cheo,mali,au daraja.Anayekutangulia msikitini anakuwa swafu ya mbele wewe unakuwa swafu ya nyuma. Ukimkuta mtu anaswali peke yake unakuwa maamuna na utajiri wako, mali zako na daraja yako, hawezi kurudi nyuma uwe imaam yeye awe maamuma.Kufunga hali kadhalika ni sawa kwa wote ili tujue njaa ni nini kwetu.
 
Hapo kwenye swala ndio kabisa, lugha moja, actvity ni moja, kila kitu ni uniforme duniani kote.
 
Ndoa zao hazidumu ni bandika bandua
Ndio maana pia lifespan yao ni kubwa na heshima ya ndoa ipo. huko upande wa pili hata ukiskia mkeo analeta mtu ndani inabidi uishi nae tu na mwananamke atafanya anavyotaka sababu anajua huwezi muacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…