luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Huyu ni Mkenya Mwanasiasa gani? Hebu mtujuze watu wa 254
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kigwangala naye aache haya mambo hii mipasho hafananii nayo. Kama Kenya wameamua hivyo let them be yeye ale mema tu yanayotokana na maamuzi yao kufanya hivi sio poa.
Kuna on going diplomatic tiff between us bado wanaendelea kuresolve issues za KQ na mengineyo. .... Hii post sidhani kama inasaidia kwa muda huu
Kuna on going diplomatic tiff between us bado wanaendelea kuresolve issues za KQ na mengineyo. .... Hii post sidhani kama inasaidia kwa muda huu
Ipo sawa
Naona wanaorecover ni wengi kuliko wanaokufa. Njaa inaua kuliko Coronavirus. Kenya waachane na panic ya Coronavirus. Watu wajikinge tu kama wanavyovaa condom kujikinga na HIV.Wale waliokuwa wanasema "mungu wabariki wakenya" wapo wapi? .
Bado 9.wafike 400.
View attachment 1528671
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ipo sawa
Naona wanaorecover ni wengi kuliko wanaokufa. Njaa inaua kuliko Coronavirus. Kenya waachane na panic ya Coronavirus. Watu wajikinge tu kama wanavyovaa condom kujikinga na HIV.
KabisaHao acha wavune walichopanda.
Walitutukana sana.
Tulipo sema tunamtegemea mungu atuvushe.
Wakatuona hatuna AKILI.ila wao ndo wanazo.
ACHA MUNGU AWAONESHE UWEPO WAKE "
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Kosa la Kigwangala lipo wapi hapo [emoji23][emoji23] watu mna mapenzi ya ajabu na nchi za watuKigwangala naye aache haya mambo hii mipasho hafananii nayo. Kama Kenya wameamua hivyo let them be yeye ale mema tu yanayotokana na maamuzi yao kufanya hivi sio poa.
Hata mie nimeshangaa kumlaumu Kigwangala
Wananchi wa 254 hamueleweki