Hakika yametimia sasa ya Kenya na COVID-19

Hakika yametimia sasa ya Kenya na COVID-19

Kigwangala naye aache haya mambo hii mipasho hafananii nayo. Kama Kenya wameamua hivyo let them be yeye ale mema tu yanayotokana na maamuzi yao kufanya hivi sio poa.
 
Wale waliokuwa wanasema "mungu wabariki wakenya" wapo wapi? .
Bado 9.wafike 400.
Screenshot_20200806-121548.jpg


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Neno pekee nimelielewa sana kwa huyo jamaa.."..hii Corona ni masinema tu..."
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].wakati kila siku namba ya wagonjwa inapaa.
HAO BADOOO.
yaani huu ni mwanzo wa movie.hata stering hajazaliwa.
Naona wanaorecover ni wengi kuliko wanaokufa. Njaa inaua kuliko Coronavirus. Kenya waachane na panic ya Coronavirus. Watu wajikinge tu kama wanavyovaa condom kujikinga na HIV.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Baeleze hao papaa,
Vataelewa tu.

#Wataelewa_tu
 
Back
Top Bottom