Hakikisha huolewi na wanaume wa aina hii

Sasa hapo ataolewa na WA aina gani?
 
Gubu + Ving'ang'anizi

mkitembea wote akifika kwa watu utasikia "msimuone hivi, huyu ndo mke wangu na ananieshimu sana" ๐Ÿ˜…
Igweeeeeeeeeeee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Huu uzi unachekesha sanaโ€™a
 
Porojo!!!!!?;
Mbona huku wanoana Tena kwa furaha na familia zinadumu.
 
Nkamu juzijuzi nilikutana na mtu mfupi akaanza kunga'ang'ania namba yangu nimpe
Nikamwambia kama wwe nashinda hii Mitaa basi tutaonana tu
Akakomaa nimpe
Nikampa
Sijafika hata nyumbani simu inaita kama ugomvi
Nikaiacha
Khaa!
Vina gubu
Bila Shaka na wewe unamiliki watu wabishi duniani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nkamu juzijuzi nilikutana na mtu mfupi akaanza kunga'ang'ania namba yangu nimpe
Nikamwambia kama wwe nashinda hii Mitaa basi tutaonana tu
Akakomaa nimpe
Nikampa
Sijafika hata nyumbani simu inaita kama ugomvi
Nikaiacha
Khaa!
Vina gubu
Nkamu my ribs lol.! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Watu wafupi ni tatizo wananiboa kwenye ubishi tu..!

Sasa ikawaje?
 
Nkamu my ribs lol.! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Watu wafupi ni tatizo wananiboa kwenye ubishi tu..!

Sasa ikawaje?
Nikasema uwii Mungu ndio umeniletea kituko gani hiki!
Mtu mfupi kama Selemani

Nilikalima block aisee
Sitaki dhambi
 
Nikasema uwii Mungu ndio umeniletea kituko gani hiki!
Mtu mfupi kama Selemani

Nilikalima block aisee
Sitaki dhambi
Sele again ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Huu mwaka sele hakuna sehemu atakayotokea ๐Ÿคฃ
 
Sele again ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Huu mwaka sele hakuna sehemu atakayotokea ๐Ÿคฃ
Yaani mtu namchungulia utosini
Kwanza alikuja na pigo za kishamba

Eti karibu ofisini kwetu
Hapo ndipo ofisini kwetu
Namuuliza wapi?ananionyesha hapo

Asichojua Mimi ndio nilikuwa nimetoka humo na watu wote nawajua yeye sijawahi kumuona.

Ndio kakaja kuomba namba
Kafupi yaani
Utadhani mtu na shangazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ