Hakikisha umesoma hivi vitabu 5 kabla hujaanza biashara yoyote

Binafsi sikuwah kuwa mpenz wa kusoma vitabu ila baada ya kuingia kwenye ujasitiamal ndio nikaona mmmh mbona kama am going crazy, ndio kuanza kusoma soma.
Na nikaanza na zile doz za kitoto kabisaa maana niliona nina changamoto kubwa sana katika mtazamo pia nina utata sana katika namna ya kuchangamana na watu na mwisho kabisa shughul yangu inani subject kwenye sales na sina knowledge yoyote kuhusu Marketing and sales, am a computer science guy.

Kitabu cha POWER OF POSTIVE THINKING kilinisaidia sana namna ya kujituliza na ku cope na masuala mazima ya mitazamo hasi na ya woga.

Kitabu cha PSYCHOLOGY OF SELLING ndio kikanipa maujanja zaidi napokua field maana biashara yangu wateja ni wafanya biashara na wasomi kwa 90%.

hIvyo vitabu vyote umeweka hapo sijawah soma hata kimoja ila i promice i will hasa hicho cha HOW TO SELL ANYTHING...... kimenivutia zaidi
 
Tatizo sio kusoma vitabu tatizo ni wapi utapata mtaji wa kubadili mawazo yako kuwa uhalisia hadi ufikie hatua ya kusema unafanya mageuzi ya kiuchumi. Tanzania inawasomi wengi lakini wafanyabiashara wengi na wakubwa sio wasomi tafakari hapo kwanza. Utajiri ni zaidi ya kusoma vitabu, unaweza ukasoma sana na ukakosa connection hapo ndio utajua aliyesema bongo bahati mbaya alimaanisha nini

Hao kina mo dewji na gsm usifikiri mitaji ya hizo biashara walitafuta wao la hasha hayo makampuni walianzisha baba zao wao walisomeshwa ili waje kuendeleza walioanzisha wazazi wao. Na sifikirii kama hao baba zao walitafuta mitaji ya kuanzisha biashara na baadae kuwa kampuni kwa kusoma hivi vitabu sitaki kuamini hio theory hata kidogo

Mfano gsm chimbuko na historia ya hii kampuni inashangaza na kustaajaabisha japo sijafatailia sana ila kwa ufupi baba yake GSM alikuwa mkulima huko songea kama sijakosea. Soma namna ROMAN ABRAMOVIC alivyotoboa mpaka kuwa bilionea utanielewa
 
Umesema vyema na kwa kua ni mawazo yako basi sina pingamizi.. ila kitu kimoja naweza kukusaidia mkuu.. hauhitaji 20m au 30m kuwaza makubwa au kua na mipango mikubwa.. unahitaji tu! Utayari wako wa kuamini unaweza kuyafanikisha na kuanza kuyatekeleza kwa hatua ndogo kila wakati.

Ukishindwa kuamini kua utafika basi jua ata na nguvu yakuyatekeleza itakua hafifu, ila imani na matamanio ya kufanikisha yatakupa hari na kukufikisha.

Kazi ya hiv vitabu ni nini hasa?? Kitabu kinakupa muongozo na highlight za msingi za kuzingatia katika biashara yako..
haina maana usiposoma hautatoboa nooo! Ila ukisoma vitakupa mwanga katika safari yako na utajifunza vingi pia..

mafanikio hua yanakuja na mambo yake, leo hii wangap tunawaona wanashinda pesa nyingi za betting, madini mererani.. lkn baada ya muda wanarudi kwenye shida zao pale pale.. wapo wanaofanya biashara na kupiga pesa baadae biashara zinakufa.?
Leo hii wangap biashara zao zimewafanya kua watumwa, akifa kesho na biashara imekufa?. "..The world is changing rapidly, those who are bold enough to learn and adopt the changes will rule over those who dont."

Hivyo shida sio mafanikio tu... mafanikio ya kudumu na yatakayokupa uhuru na pesa yako!.
 
Binafsi sikuwah kuwa mpenz wa kusoma vitabu ila baada ya kuingia kwenye ujasitiamal ndio nikaona mmmh mbona kama am going crazy, ndio kuanza kusoma soma.
Na nikaanza na zile doz za kitoto kabisaa maana niliona nina changamoto kubwa sana katika mtazamo pia nina utata sana katika namna ya kuchangamana na watu na mwisho kabisa shughul yangu inani subject kwenye sales na sina knowledge yoyote kuhusu Marketing and sales, am a computer science guy.

Kitabu cha POWER OF POSTIVE THINKING kilinisaidia sana namna ya kujituliza na ku cope na masuala mazima ya mitazamo hasi na ya woga.

Kitabu cha PSYCHOLOGY OF SELLING ndio kikanipa maujanja zaidi napokua field maana biashara yangu wateja ni wafanya biashara na wasomi kwa 90%.

hIvyo vitabu vyote umeweka hapo sijawah soma hata kimoja ila i promice i will hasa hicho cha HOW TO SELL ANYTHING...... kimenivutia zaidi
Safii psychology of selling nimekisoma great book.... power of positive thinking i should look for it! Asap
 
Don't procrastinate.. fungua akili ujifunze ...unaowaongelea karikoo, hao ni sole-proprietors, I'm really sorry!..we are talking of extra miles here!. Watu wanaohitaji kufanya mageuzi katika uchumi wa tz.. watu wenye hari na matamanio yakufungua makampuni, kufikia heights za kina modewji, gsm nk. ..tafuta lifestyle za watu wakubwa, knowledge comes from books. Hope i made it clear.
Kweli mkuu Great Leaders are Readers
 
Tatizo letu ni kufanyia kaz vile tunavyovisoma " The reachest man in babylon". Kilinifanya nigundue tatizo sio hela unayopata ila ni kivp unatumia unachokipata na kuhakikisha unajilipa pia na wewe.

Kukusanya maarifa ni hatua moja yapo yakuanzia mahali kuchukua hatua kwny maarifa unayoyasoma ndo kitu kinaweza kumtransform mtu

Kufanikiwa kiuchumi ni kubadilisha tabia mbalimbali tunazojifunza kupitia hivi vitabu la muhimu "ANZA". chukua a 21 days habit kuza mazoea flani then boom it becomes a habit. Kwa kuangezea "EAT THAT FROG". Kiongezwe kwny list ya vitabu vya kukuza productivity
 
What a comment! Umesema vyema sana Frank mtanganyika more than whatever I've written up there.. brief but bold. Hope everyone sees this too!!
 
I don't wanna drop a too-long comment but this dude is brilliant, these are the most recommended financial books thank god I've read all of them.
Na bado hujawa mfanyabiashara mpaka sasa, na kama ni mfanyabiashara bado hujaweza kufanikiwa zaidi

Ukitaka kufanikiwa kibiashara achana na mambo ya kusoma soma sana na utakua muoga sana kuchukua risk/hasara
 
Back
Top Bottom