Hakikisha umesoma hivi vitabu 5 kabla hujaanza biashara yoyote

Hakikisha umesoma hivi vitabu 5 kabla hujaanza biashara yoyote

Well, maybe I don't read because I wanna be a businessman, it's my habit.
To hell with your nonsense. Nitasoma sana na tena.
 
Kila mtu na imani yake na malengo yake. Kama Imani yako ipo katika kuroga keep it up, wengine tunaamini katika kujifunza zaidi na zaidi katika maisha yetu. Sio sote tupo katika njia ya uchawi na kuroga
 
Ahsante sana
Nilianza biashara bila kusoma kitabu chochote kati ya hivyo
Ni mungu tu mambo yameenda
 
I don't wanna drop a too-long comment but this dude is brilliant, these are the most recommended financial books thank god I've read all of them.
What a comment, Thank you for showing up bro🙏. . This is our platform to learn and unlearn some habits to the point we see success, thank you for motivating this people🙏🙏
 
Ahsante sana
Nilianza biashara bila kusoma kitabu chochote kati ya hivyo
Ni mungu tu mambo yameenda
Ooh safi sanaa! Uthubutu wa kuanza ni hatua muhimu kuliko zote.. Upo sehemu sahihi @Iyenyi ukianza kusoma utajifunza vingi sana na kujiboresha kila wakati kwa hatua. This is an information Age, having right information about what you do will make you successfully.. the only set back we have in this century is an information overload, too much infos of which some aren't right. So reading will help you clear out unneccesary noises and make you bold enough in what you want.
 
Eti kusoma vitabu kabla haujaanza biashara😆😆😆 hebu niwaambie kitu kimoja kwenye biashara hizi za kati hatutumiii upuuzi kama huo huku ni ubahili na kuroga tu
Kama mpango wako ni kua mfanyabiashara wa kati milele, you are on the right truck.. keep pushing Mnachihangu
 
Kila mtu na imani yake na malengo yake. Kama Imani yako ipo katika kuroga keep it up, wengine tunaamini katika kujifunza zaidi na zaidi katika maisha yetu. Sio sote tupo katika njia ya uchawi na kuroga
Barnaba Fumbo awesome words heard today. Our goal is to learn and learn and learn on every single move.
 
Hahahaha tatizo haunijui ila njoo kuanzia masasi,newala, lulindi na mtwara halafu uulizie mnachihangu ni nani na anamiliki nini watakuambia
Sidhani kama nina huo muda mkuu, ila whatever that you are, i don't think this young generation needs people like you. Boasting around what you are, won't help anybody here.. what you are will be revealed by what you deliver. wise men knows where to invest their time on.. and my valuable time i won't waste it on you.
 
Mimi sio mkuu wako halafu kwanini hautaki kunifuatilia wakati mimi nimekuzidi kila kitu maishani kuanzia pesa,uchawi,dhambi na wema?
 
Back
Top Bottom