Sina hakika kama kuna kitabu hata kimoja umesoma hapoHivyo vitabu vimeandikwa kwa mazingira ya wenzetu ulaya na mifumo yao kidogo kinaendana nacho ila sio huku bala la giza africa hasa nchi ya viongozi wabinafsi ulienda kkoo hapo la saba kibao hawajui hivyo vitabu na wanamake pesa everyday