Hivyo vitabu vimeandikwa kwa mazingira ya wenzetu ulaya na mifumo yao kidogo kinaendana nacho ila sio huku bala la giza africa hasa nchi ya viongozi wabinafsi ulienda kkoo hapo la saba kibao hawajui hivyo vitabu na wanamake pesa everyday
Mkuu Sijui unaelewa nini kuhusu kipaji, kipaji siyo kuimba tu
Jambo lolote unalolijua wewe kuna watu wamezaliwa na kipaji nalo
Ni wachache sana wanaogundua vipaji vyao
Mambo mengi tunajifunza japo kuna watu wamezaliwa na uwezo huo bila kujifunza kabisa
Mfano mdogo tu siyo kila mtu anaweza kuongea mbele za watu
Lakini kwa wengine hilo siyo jambo la kujadili siyo shida zake
Kuna masomo na vitabu kabisa namna ya kuongea mbele za watu