Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Ashraf Hakimi , mchezaji wa timu ya PSG ya Ufaransa, unaweza kusema ni Mungu anampenda, pia maombi ya mama yake yanamsaidia.
Kwa mara nyingine mwamba amenusurika kufanyiwa umafia na mpenzi wake mpya baada ya chat za mwanamke huyo alizokua anachat na group lake la wadada wanaowafanyia uhalifu wa kuwaibia ama kuwa scam kugundulika, na Hadi Sasa Polisi wanaendelea na uchunguzi
Inasemekana mpenzi wake mpya huyo alikua akipanga njama na wenzie ya kufanya uhalifu kwa Hakimi. Japo katika kubanwa maswali na Polisi alidai kua walikua wanataniana na wenzie ila Bado haijawaingia akilini familia ya mchezaji na Hakimi mwenyewe. Na hivi Sasa ni kama jamaa ameshapiga chini.
Mwamba ambaye ni President wa chama kikuu Cha wanaume ameshauriwa na wanachama wenzie kua kama ana upwiru sana basi atafute binti mwema kutoka huko kwao Morocco muislamu haswa ambaye atakua mke mwema kwake anaetulia nyumbani kuliko Haya magumegume mashankupe ma slay queen gold digger, madanga, ya mjini ambao wako kipesa zaidi na hawampendi zaidi ya pesa zake na wako tayari kufanya lolote.