Hakimi anusurika kwa mara nyingine...women, slay queens, Kaa nao mbali, trust you MOTHER.

Ashraf Hakimi , mchezaji wa timu ya PSG ya Ufaransa, unaweza kusema ni Mungu anampenda, pia maombi ya mama yake yanamsaidia.

Kwa mara nyingine mwamba amenusurika kufanyiwa umafia na mpenzi wake mpya baada ya chat za mwanamke huyo alizokua anachat na group lake la wadada wanaowafanyia uhalifu wa kuwaibia ama kuwa scam kugundulika, na Hadi Sasa Polisi wanaendelea na uchunguzi

Inasemekana mpenzi wake mpya huyo alikua akipanga njama na wenzie ya kufanya uhalifu kwa Hakimi. Japo katika kubanwa maswali na Polisi alidai kua walikua wanataniana na wenzie ila Bado haijawaingia akilini familia ya mchezaji na Hakimi mwenyewe. Na hivi Sasa ni kama jamaa ameshapiga chini.

Mwamba ambaye ni President wa chama kikuu Cha wanaume ameshauriwa na wanachama wenzie kua kama ana upwiru sana basi atafute binti mwema kutoka huko kwao Morocco muislamu haswa ambaye atakua mke mwema kwake anaetulia nyumbani kuliko Haya magumegume mashankupe ma slay queen gold digger, madanga, ya mjini ambao wako kipesa zaidi na hawampendi zaidi ya pesa zake na wako tayari kufanya lolote.
Anashindwa kujifunza kwa mchezaji mwenzake Dembele,kaoa binti wa Kimorocco safi kabisa Cassablanca hapo, yy anakomaa na hawa Slay Queens. Japo ndio yupo makini sababu mzigo wote unapitia kwa bi mkubwa,ila kuna siku atajichanganya. Hawa mslay Queens sio watu kabisa linapokuja swala la hela,japo hawatumii silaha ila kupitia uzuri wao ukiwaendekeza wanakupukutisha.
 
Ashraf Hakimi , mchezaji wa timu ya PSG ya Ufaransa, unaweza kusema ni Mungu anampenda, pia maombi ya mama yake yanamsaidia.

Kwa mara nyingine mwamba amenusurika kufanyiwa umafia na mpenzi wake mpya baada ya chat za mwanamke huyo alizokua anachat na group lake la wadada wanaowafanyia uhalifu wa kuwaibia ama kuwa scam kugundulika, na Hadi Sasa Polisi wanaendelea na uchunguzi

Inasemekana mpenzi wake mpya huyo alikua akipanga njama na wenzie ya kufanya uhalifu kwa Hakimi. Japo katika kubanwa maswali na Polisi alidai kua walikua wanataniana na wenzie ila Bado haijawaingia akilini familia ya mchezaji na Hakimi mwenyewe. Na hivi Sasa ni kama jamaa ameshapiga chini.

Mwamba ambaye ni President wa chama kikuu Cha wanaume ameshauriwa na wanachama wenzie kua kama ana upwiru sana basi atafute binti mwema kutoka huko kwao Morocco muislamu haswa ambaye atakua mke mwema kwake anaetulia nyumbani kuliko Haya magumegume mashankupe ma slay queen gold digger, madanga, ya mjini ambao wako kipesa zaidi na hawampendi zaidi ya pesa zake na wako tayari kufanya lolote.
Aisee
 
Wanaume na nyie huwa mnashangaza sana. mtu unapata hela na mafanikio unashindwa kutafuta mke mwema kijijini kwenu huko mnakimbilia ma slay queen wa mijini, huyo hakim angefuata nyayo za sadio mane angeenda huko kwao akatafuta kasichana kazuri, kadogo dogo kakiarabu akakaoa akajenga familia yeye anakimbilia wanawake wa kizungu.Hao wanawake wa kizungu ni mashetani hawana haya wewe kama sio mzungu na una mafanikio usioe mzungu.
Kadogo dogo hapo ndo upo sahihi unakafundisha mwenyewe kila kitu
 
Wanaume na nyie huwa mnashangaza sana. mtu unapata hela na mafanikio unashindwa kutafuta mke mwema kijijini kwenu huko mnakimbilia ma slay queen wa mijini, huyo hakim angefuata nyayo za sadio mane angeenda huko kwao akatafuta kasichana kazuri, kadogo dogo kakiarabu akakaoa akajenga familia yeye anakimbilia wanawake wa kizungu.Hao wanawake wa kizungu ni mashetani hawana haya wewe kama sio mzungu na una mafanikio usioe mzungu.
Hakimi hajaoa mzungu, ni mtu wa kwao pia sema wamekutana huko Ulaya.
 
Back
Top Bottom