Naomba kujua waliomshauriMwamba ambaye ni President wa chama kikuu Cha wanaume ameshauriwa na wanachama wenzie kua kama ana upwiru sana
Hilo nalo nenoWanaume na nyie huwa mnashangaza sana. mtu unapata hela na mafanikio unashindwa kutafuta mke mwema kijijini kwenu huko mnakimbilia ma slay queen wa mijini, huyo hakim angefuata nyayo za sadio mane angeenda huko kwao akatafuta kasichana kazuri, kadogo dogo kakiarabu akakaoa akajenga familia yeye anakimbilia wanawake wa kizungu.Hao wanawake wa kizungu ni mashetani hawana haya wewe kama sio mzungu na una mafanikio usioe mzungu.
Sasa unaenda kuoa kijijini halafu una mchukua mkeo una kwenda kuishi Nae magomeni buguruni au mwananyamala , What do you expect!?Kuoa na kupata mke mwema hakujalishi anatoka wapi kijiografia bali ni bahati tu, anaweza kuoa kwao Morocco baada ya miaka kadhaa akawa mjanja zaidi, kama upo dsm fuatilia wale wanaoenda kuoa vijijini kwao huko na kuwaleta mjini,kila kitu wanashangaa,na kutaka kujaribu........
Bado hakomi tu 😀
Tatizo ana penda wanawake Malaya a.k.a gold digger Ngoja tu litamfika jambo ni suala la muda tu
Hammuoni Messi alicho kifanya kwenda kumuoa mwanamke Aliyekuwa Nae utotoni anadhani kuwa Messi ni mjinga mjinga!?
Sawa muhimu ni zimwi limjualoMessi ameishi kinyumba na huyo mwanamke bila ndoa kwa miaka zaidi ya 10 na kuzaa nae watoto watatu. Kisha ndipo akamuoa
Kununua apply only to makapuku, mtu mwenye bright fyucha ahead aweke maisha yake rehani kisa nini.Ushauri mbaya huo, ingefaa Chama cha Wanaume kimshauri Hakimi awe ananunua dada analipa alafu anasepa zake, akihitaji tena ananunua, sbb wadada siku hizi wako kibao instagram au mitandaoni unachagua unalipia gharama kidogo alafu anamalizana nae hapo hapo..!!
Kununua apply only to makapuku, mtu mwenye bright fyucha ahead aweke maisha yake rehani kisa nini.
Mkuu labda sikuelewa hapo uliposema ashauriwe awe ananunua, kununua nini? Hao uliowaoredhesha hapo juu ni wanununuzi wa nini?Hujui kitu wewe, wenye bright future ndio wananunua sana sana na wengine ma trilionea dunia hii ndio wanunuaji wakubwa n wamewapiga talaka wake zao wa ndoa kabisa..!!
Soma hii..!! Ujifunze..!!
View attachment 3432725