Hakimi anusurika kwa mara nyingine...women, slay queens, Kaa nao mbali, trust you MOTHER.

Anashindwa kujifunza kwa mchezaji mwenzake Dembele,kaoa binti wa Kimorocco safi kabisa Cassablanca hapo, yy anakomaa na hawa Slay Queens. Japo ndio yupo makini sababu mzigo wote unapitia kwa bi mkubwa,ila kuna siku atajichanganya. Hawa mslay Queens sio watu kabisa linapokuja swala la hela,japo hawatumii silaha ila kupitia uzuri wao ukiwaendekeza wanakupukutisha.
 
Aisee
 
Kadogo dogo hapo ndo upo sahihi unakafundisha mwenyewe kila kitu
 
Hakimi hajaoa mzungu, ni mtu wa kwao pia sema wamekutana huko Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…