Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

 
Kutujulisha tu undani wa uchawi wa masisiemu inatutosha kenge kwa kuanzia kijana
 
Kumbe wewe uko na Chadema. Chizi kama chizi katika ubora wako. Hata nikikuuliza unitajie hicho chama ambacho akiwezi/kinaweza kumsikiliza huwezi kukutaja.
Yes gentleman,
ni chadema masalia pekee ndio ambayo inamskiza huyo msukule. Na si unajua chadema masalia wamebaki heche na amani tu na wamepigwa marufuku kushiriki uchaguzi kwasasababu ilikua ni genge la kihalifu?πŸ’
 
Yes gentleman,
ni chadema masalia pekee ndio ambayo inamskiza huyo msukule. Na si unajua chadema masalia wamebaki heche na amani tu na wamepigwa marufuku kushiriki uchaguzi kwasasababu ilikua ni genge la kihalifu?πŸ’kwa
 
Kwa taarifa yako Kuna wa CCM wengi humu kuliko unavyodhani wewe mafudi
 
Wajinga wa lumumba mnakuja na majibu mepesi kiasi hiki? Hivi Huko lumumba hakuna wenye Akili timamu tofauti na wewe?
 
Kwa nmaneno yale na hali ilivyo, lazima ajifiche..
Ukweli watu wanuogopa, Polepole yupo hadhiri, wewe na mimi tumejificha, nani ana asilimia kubwa ya ukweli
 
Sisi hatujui katubu au hajatubu hayo ni yake na Mungu wake. Tunachojua ni kwamba kasema kweli na kwamba tusisumbuke kupiga Kura maana CCM mna matokeo tayari. Matokeo ya 2020 Jimbo la Mbinga na Jimbo la Tarime vijijini yalikuwa na takwimu Sawa Kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…