Hakipo chama cha siasa nchini kinaweza kumsikiliza, kuamini na kutekeleza maagizo ya Humphrey Polepole

Kwa taarifa yako Kuna wa CCM wengi humu kuliko unavyodhani wewe mafudi
hao ndio wanao amua mustakabali wa Taifa letu kwa niaba ya wachache waliokubali kubebwa ufala wa kifikra na msukule polepole πŸ’
 
Tilalila, hivi huwa ni bei gani wanalipwa kwa kila post?
kazi za kizalendo kwa maslahi mapana ya waTanzania wote hua hazina malipo, ispokua ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu haya yote yanawezekana kwa wepesi na bila mbambamba yoyote πŸ’
 
Wajinga wa lumumba mnakuja na majibu mepesi kiasi hiki? Hivi Huko lumumba hakuna wenye Akili timamu tofauti na wewe?
Tuliza mihemko gentleman,
kubebwa ufala wa kifikra na msukule polepole matokeo yake huo ni pamoja na mihemko nonsense kama hiyo,

nashauri kujiepusha na upotoshaji wa mtu alie mafichoni na kukufanya wewe kama kondoo wa kafara πŸ’
 
relax gentleman,
huna haja ya mihemko bas ikiwa ni hivyo,

hata hivyo,
kubebwa ufala kifikra na huyo msukule ni umaskini wa fikra wa kiwango kibaya sana aise πŸ’

Kama ufala wenyewe ni wa watu wengine na haukuhusu wewe chawa achana nao tu fanya mengine wanamtandao watakulipa tu
 
kazi za kizalendo kwa maslahi mapana ya waTanzania wote hua hazina malipo, ispokua ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu haya yote yanawezekana kwa wepesi na bila mbambamba yoyote πŸ’
Uzalendo? Mzalendo asikemee rushwa? Mzalendo asikemee udanganyifu na matumizi mabaya ya mali za umma? Unapataje baraka na neema za Mungu kwa kushabikia wauaji?

Najua.unafanya delaying tactics kututoa kwenye mada lakini umenoa Ndg tilalila a ka mafudi
 
Mbona unarukaruka kama maharage yakiwa jikon mzee. Pole pole kaharisha jana mbaya kabisa.
 
Tuliza mihemko gentleman,
kubebwa ufala wa kifikra na msukule polepole matokeo yake huo ni pamoja na mihemko nonsense kama hiyo,

nashauri kujiepusha na upotoshaji wa mtu alie mafichoni na kukufanya wewe kama kondoo wa kafara πŸ’
Unataka ajitokeze hadharani ili mmfanyeje? Pale kwa dada yake mlienda kufanya Nini?
 
Kwa nmaneno yale na hali ilivyo, lazima ajifiche..
Ukweli watu wanuogopa, Polepole yupo hadhiri, wewe na mimi tumejificha, nani ana asilimia kubwa ya ukweli
yaani ukweli unapimwa kwa asilimia gentleman?🀣

aliejificha ni huo msukule,
wewe umejificha wap na unaonekana hadi mvi zako?
au hapo unajiona umejificha gentleman?πŸ’
 
OK sawa MHUNI
 
yaani ukweli unapimwa kwa asilimia gentleman?🀣

aliejificha ni huo msukule,
wewe umejificha wap na unaonekana hadi mvi zako?
au hapo unajiona umejificha gentleman?πŸ’
Acha ujinga wa kutoa vitisho wewe
 
ukweli au unafiki gentleman?

tangu lini ukweli unasemwa mafichoni kama sio umbea huo wa kiume?

athari za kubebwa ufala kifikra zimeanza kukupata gentleman πŸ’
 
Unasemaje kuhusu Kadi za NIDA + CCM + TUME YA UCHAGUZI?

Kama huna la kusema katika hayo rudi kwenu Kizimkazi
 
ukweli au unafiki gentleman?

tangu lini ukweli unasemwa mafichoni kama sio umbea huo wa kiume?

athari za kubebwa ufala kifikra zimeanza kukupata gentleman πŸ’
Nimekuuliza. Kwa dada yake mlienda mmejazana kwenye magari na mabunduki mlienda kufanya Nini?
 
ROSTAM AZIZI TUMESHA MU EXPOSE NA WATANZANIA WOTE WAMEMJUA NI MUHALIFU NO 1 YETE NA GENGE LAKE....HAKUNA TENA NJIA YA YEYE KUJITAKASA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…