Watetezi wa ccm mitandaoni wengi Akili zao ni za hovyo hujiandia chochote pasipo hata kutafakari, ccm ya sasa ina vilaza wengiKUNA MAHALI KUNA UKWELI, JAPO SIpAJUi..
Inashangaza mtu anatoa maoni yake, kuna wanajibu kabla wahusika wenyewe...
Wahusika wamkanushe na sisi tupate ukweli..
Nani kakuambia kajificha, ulimtafuta? Jibu kwanzani muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,
Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?
be wise and be careful plz gentleman 🐒
Si mpaka muwe na Akili ya kujibu sasa lakini kama watu wa kujibu ni kama Sample yako wajinga wajinga watajibu nini?hayupo wa kubabaika kujibu upotoshaji wa huo msukule, bali waTanzania wazalendo wanajatibu kuwanusuru ninyi ambao ni rahisi kubebwa ufala kifikra na huyo msukule 🐒
🚮ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,
Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?
be wise and be careful plz gentleman 🐒
ccm nyinyi ni ibilisi pepo mashetani mfano wewe ulivyokuwa na Roho mbaya ni zaidi ya shetanihivi shetani akitubu anakua ibilisi, pepo au msukule?🐒
Haki ya kutoa maoni na ushauri inatolewa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Taznania ambayo Mama yako anaibagaza na kuiita Kijitabu tu. Kama hamuwezi kuheshimu katiba ambayoinalinda uhuru wa kutoa maoni na kulinda haki ya kuishi maneno yako yanamtaka ajitokeze ili muendelee kumnyamazisha kama yanayoendelea kwa Tundu Lissu na wengine mliwatanguliza mbele ya haki. Kikwete aliwahi kuwahsauri kwamba jibuni hoja na sio kupiga Rungu.Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?
Kwa uchaguzi upi? Wapi lini saa ngapi?nami ninawasihi muwe live kwenye TV mkifuatilia kwa ukaribu na umakini mkubwa jinsi mamilioni ya waTanzania watakavyijitokeza kupiga kura na wakitumia haki na uhuru wao wa kikatiba kuchagua viongozi wao kwa uhuru, haki na uwazi katika mazingira ya amani na utulivu wa kiwango cha juu sana.
karibuni sana familia na ninawatakia matangazo mema mubashara siku ya uchaguzi.
TBC ukweli na uhakika 🐒
Mustakabari upi? Wamuamulie nani? Kuteka watu kuua watu kuwabambikia kesi watu kesi za uongo, wewe ndiyo msikule number onehao ndio wanao amua mustakabali wa Taifa letu kwa niaba ya wachache waliokubali kubebwa ufala wa kifikra na msukule polepole 🐒
Mfumo wa chama Tawala ni mbovu na wahuni!Hapana kumeoza ufipani kuleee ambapo mpaka sasa hawajui adui yao ni nani??!! Mara walie na Mbowe, wengine walie na Lisu mpaka wanakimbia chama, wachahe wanaibwekea serikali ambayo ipo mbali nao, mahututi wanali na CCM, mbumbumbu wanalia Mahakama nazani umeona uozo wa ufipani ulivyo😂😂
Alafu utaona watu wanaenda kusikiliza sera ktk mikutano ya kampeni alooo😭😭
Wewe ni mnufaika wa futungo. Kwani Tz Kuna vyama vya siasa au makapi na mapandikizi yenu ❓Watanzania sio wajingaKatika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.
Hamphrey Polepole ametubu lini hata kua na utakatifu na credibility ya kufikia hadi hatua ya kutoa maagizo na maelekezo ya nini cha kufanya kwa vyama vya siasa nchini?
Ni lini Hamprey Polepole amekua mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa nchini ambae ghafla tu amajivika cheo cha ushauri wa vyama vya siasa akiwa mafichoni? Ikiwa polepole anaogopa kujitokeza hadharini kutekeleza anayopendekeza wengine watekeleze, vipi ambae yuko field atajitokeza kweli au atakua anajiuliza tu kulikoni mwenye ideas kajificha?
Huenda Hamprey Polepole amechanganyikiwa. Ni chadema masalia pekee ambayo haina uongozi na haina kazi kuelekea uchaguzi ndio pekee inaweza kumskiliza 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Hivyo sio vyama vya siasa. Ni matawi ya CCM gentleman.ulitaka vyama vya siasa viskilize na kutekeleza umbea wa mwanaume alie mafichoni?
hiyo si nonsense kabisa gentleman ?🐒
Hamphrey Polepole ndie aliekua msaidizi mkuu wa chinja chinja wa demokrasia nchini,
Surely,
amekua mtakatifu ghafla namna hii hata gentleman ubabaike na maagizo yake potofu akiwa mafichoni?🐒
Msalimie Mkoloni Rostam azizijikite kwenye hoja mahususi mezani bila kutapatapa gentleman,
na ikiwa uko pointless, just relax and learn from others. Huna haja ya kuhamisha mjadala 🐒
..kaeleza sababu za kujificha, kujificha sio ishu..ni mpumbavu juha anadiscuss angalizo limetokea wapi badala ya angalizo lenyewe!ni muhimu sana kujiepusha na upotishaji wa Hamphrey Polepole gentleman,
Yeye kajificha,
surely, wewe kwa akili zako timamu kabisa unaweza kujitokeza kutekeleza maagizo yake bila kujiuliza why kajificha na kulikoni asijitokeze na muungane pamoja kwenda kutekeleza huo ugoro wake?
be wise and be careful plz gentleman 🐒
Bado hamjasema, mtasema tu mbona? Kila siku nilikuwa nakuambia Tanzania hakuna uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Naona waliokuwa wanashiriki wizi wa kura wa ccm moja kwa moja wanajitokeza kukiri. Uovu sio jambo la kudumu.Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya siasa kutokufanya siasa nchini, iliyotolewa na kiongozi wa nchi wakati huo, huku huyo polepole akiwa na nafasi muhimu sana katika uongozi huo uliolalamikiwa sana kitaifa na kimataifa kuhusu haki za binadamu.