Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

Mimi ni akili kubwa ambazo ni sawa na ukoo wako wote kwa pamoja na bado hamnifikii.
mind is infinite potential, huwezi kuunganisha akili za watu wawili alafu ukawa sawa, ndio maana nakwambia wewe ni kichaa, kuna jamaa hapo juu kakwambia hao unaowasifia wakitaka kuwekwa utasema utiwe wewe na ndio unachifanyiwa
 
Vipi mbona na wewe hukupaswa kuyasema haya??
Au wayaona tu ya wenzako kwenye mapambano yao??
 
mind is infinite potential, huwezi kuunganisha akili za watu wawili alafu ukawa sawa, ndio maana nakwambia wewe ni kichaa, kuna jamaa hapo juu kakwambia hao unaowasifia wakitaka kuwekwa utasema utiwe wewe na ndio unachifanyiwa
Ukoo wako wote na upeo wako wote hamuwezi kunifikia mimi mmoja.
 
Tangia lini machizi nao wakawa na uwezo wa kumiliki makampuni?
Na ndiyo maana mimi siyo chawa kama wewe maisha yamekushinda umeona njia ya kujikimu ni kuwa chawa. Kampuni yangu naajiri watu wanaotumia akili kufikiri ungekuwa na sifa hizo ningekustiri uachanane na huo ujuha unaofanya kumsifia mtu ambaye hata ukipita mbele yake anakutema mate. Unatumika kiboya sana.
 
wewe ungekuwa ndugu yangu ningemshauri baba yako abadilishane na paka uko geita watu wakuchimbie madini huna faida kama mwanadamu
 
Hao wote ni walewale tu. Yeye Rais anashindwa nini kuwashughulikia na hata kuwatia kizuizini wahaini waliotaka kumzingira na kumpora madaraka yake ya kikatiba?
 
Siyo kweli. Unakumbuka kuna siku Rais alieleza namna ambavyo Mheshimiwa Waziri wa Fedha alivyokuwa akimpigia simu Mheshimiwa Rais kumueleza baadhi ya mambo? Huoni kuwa hapo inaonyesha wazi kuwa waziri anaweza hata kumpigia simu Mheshimiwa Rais?
This logical fallacy is called non sequitur.

Kwani rais hawezi kuwa anampa priority waziri wa fedha lakini anampotezea Mkenda?

Vyovyote utakavyoliangalia hiki rais ana makosa, hayupo accessibke kwa wqziri wake mpaka waziri kamshitaki kwa wananchi.

Au kama yupo accessible basi kateua waziri mjinga sana ambaye anamshitaki rais kwa wananchi bila sababu.

Yote ni makosa ya rais hayo. Rais wako haepuki lawama hapo.
 
Mawaziri wote ni sawa na wana hadhi sawa na wanaweza kuwasiliana na Rais wakati wowote ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…