Kuna point binadamu tukifika tunakuwa hatuna tofauti na wanyama wengine. Issue za uongozi ni ngumu sana. Kuna wakati unaona kabisa hili ni bomu linaenda kulipukia nchi ila kila ukijaribu kufikia ngazi za juu unawekewa vizingiti na watu wa protocol pamoja na wasaidizi wengine. Mambo ni mengi sana.Uongozi hatutumii hisia . Ukitumia hisia katika kuamua na kuzungumza utajikuta unaharibu kila kitu
Na mie nimekusamehe bure bwana LucaKama una akili Timamu na unayejitambua utaelewa
Kama kuna sheria ya maadili ya viongozi aliyoivunja tuwekee hapa, kinyume na hilo huna mamlaka ya kuhoji wala kumkosoa Profesa Adolf Mkenda, isipokua unayo tu hapa JamiiForum.Kwani wewe unajua ukubwa wa akili zangu upoje? Au wewe mtu akiwa waziri unafikiria anakuwa tayari na akili nyingi kuliko watanzania wote hapa Nchini?
Acha yapite tu na tuendelee kumshukuru Mungu kwa kuendelea kulijalia Taifa letu amani na utulivu kwa kutuvusha katika nyakati ngumu .Hivi hawa watu walikuwa akina nani? Mimi huwa nasikia fununu tu wakiwa wanamsingizia MUNGAI, lakini hadi leo sijwahi kuwafahamu kabisa
Namuelewa sana Mkenda hali anayopitia sio mjinga kuamua kusema hadharani. Haya mambo ya uongozi yana madudu mengi ambayo huhatarisha uhai wa mtu na hata familiaNimekuwa nasisitiza hili hapa mara kadhaa lakini mtoa maada kajitoa akili.
Basi tusameheane tu.Na mie nimekusamehe bure bwana Luca
Kwa sababu umesema sina akili timamu
Sisi hatujui tunaomba utusaidie wewe.Fundisho lipi? Hivi unafahamu namna serikali inavyofanya kazi pamoja na taasisi ya Urais?
Kwani amelazimishwa kuendelea kuwa waziri? Mbona Makamu wa Rais ameomba kupumzika baada ya kumalizika awamu hii. Sasa kama waziri amechoka kwanini asiombe kukaa pembeni ili waingie wengineNamuelewa sana Mkenda hali anayopitia sio mjinga kuamua kusema hadharani. Haya mambo ya uongozi yana madudu mengi ambayo huhatarisha uhai wa mtu na hata familia
Wewe na nani hamjui maana umetumia uwingi.Sisi hatujui tunaomba utusaidie wewe.
Naona umepaniki mpaka akili zimekuruka kabisaHivi hili jamaa sio bwabwa kweli
Hutapata taabu hata kidogo ephen. Bali utasema na kuwaambia marafiki zako na ukoo mzima kuwa ni kwanini hukukutana na kujuana na mimi mapema .utahisi mimi ndio Dunia na Dunia ndio mimi na mimi ndio nimekupatia Dunia nzima uitawale na kuifurahia.Lucas mkeo atapata tabu sana..!
Amani ya Bwana iwe pamoja nawe.Hili jamaa bwana!
Hadi ephen amekushangaa ulivyo na kinyampwipwiNaona umepaniki mpaka akili zimekuruka kabisa
Vipi kama lengo mojawapo ni hilo ila anapigwa pending kuonana na Rais na hao aliowasema? Unataka atoroke ofisi bila kufuata utaratibu? Wewe unaona jambo la kuomba kujiuzuru mwaka wa uchaguzi ni jepesi?Kwani amelazimishwa kuendelea kuwa waziri? Mbona Makamu wa Rais ameomba kupumzika baada ya kumalizika awamu hii. Sasa kama waziri amechoka kwanini asiombe kukaa pembeni ili waingie wengine
Hoja ni wewe kumuita jamaa kichaa.Ingesoma wewe ndiye kichaa wa kwanza kwa kushindwa kwako kujikita kwenye hoja.
Moyo wa ephen ni moyo wangu na wangu ni wake pia.Hadi ephen amekushangaa ulivyo na kinyampwipwi