Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Kuna point binadamu tukifika tunakuwa hatuna tofauti na wanyama wengine. Issue za uongozi ni ngumu sana. Kuna wakati unaona kabisa hili ni bomu linaenda kulipukia nchi ila kila ukijaribu kufikia ngazi za juu unawekewa vizingiti na watu wa protocol pamoja na wasaidizi wengine. Mambo ni mengi sana.Uongozi hatutumii hisia . Ukitumia hisia katika kuamua na kuzungumza utajikuta unaharibu kila kitu
Amekosea yes ila naumelewa pia.