Hakuna Albadiri wala ndugu yake laana; wengi walilogwa

Hakuna Albadiri wala ndugu yake laana; wengi walilogwa

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,332
Reaction score
10,911
Wakuu kwema!

Zamani wazee wetu walikuwaga wajinga wengi wao walitishana mambo ya hovyo sana.

Hakuna uwepo wa Albadili wala laana ya mzazi wengi walilogwa.

Wazee wote wanajua hili kuwa hawana uwezo wa kumlaani mtu/mtoto akalaanika. Ninao ushahidi usio na shaka wa wazee waliowahi kujieleza katika hili.

Hata Albadiri waje masheikhe kutoka Uarabuni huko hawawezi kumdhuru mtu hata afanye kosa gani. Ndio maana kuna sheria za viboko na kuuawa kwa wakosaji kwenye sharia.

Wakishasoma Albadiri wanajua haifanyi kazi kinachofuata wanakuundia Kamati ya kukuloga.

Wapo watu walisomewa Albadiri mpaka leo wanadunda tena wanamafanikjo kuliko waliowasomea albadiri.

Wapo vijana waliolaaniwa na wazazi wao mpaka leo wanadunda na maisha yapo poa.

Chakushangaza wale waliobarikiwa na wazazi wao ndio wanasota na kuchapwa na maisha.

Povu Ruksa
 
Hakuna kitunkama albadir katika uslaM wele ni wachawi kama wachaw wengine, kuhusu afande sele alitakiwa kuombewa uwongofu kwan bange zinamzidia,
Uslam umekataza kuonewa wala kuonea mtu, pia umekataza shirik kma hizo albadir, kuruka usiku n.k
 
Back
Top Bottom