Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,332
- 10,911
- Thread starter
- #21
Hakuna kitunkama albadir katika uslaM wele ni wachawi kama wachaw wengine, kuhusu afande sele alitakiwa kuombewa uwongofu kwan bange zinamzidia,
Uslam umekataza kuonewa wala kuonea mtu, pia umekataza shirik kma hizo albadir, kuruka usiku n.k
Umenena vyema
Kwenye uislam kuna Adhabu na zimetajwa sio ule upuuzi