Hakuna Albadiri wala ndugu yake laana; wengi walilogwa

Hakuna Albadiri wala ndugu yake laana; wengi walilogwa

Ni kweli kabisa

Enzi zangu za u teenager nimepora na kuvipiga vizee mitama hasa mitaa ya kule Mbagala walikuwa wakilalamika na kulia na kunilaani hakuna lilonikuta hadi leo
Subili uzeeke na wewe utapigwa hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom