Unakuta afande sele mwenyewe sio muumini wa hio dini unadhani yatamkuta.Kwani afande sele anasemaje ktk hili?
Nilimsikia shehe kishki akiapa Afande hatafika kipindi cha Ramadhan lkn bado anadunda Hadi sasa
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nani kachanganyikiwa,kishki au afandeYule alikuwa kachanganyikiwa
Hahahahaha..Wakishasoma Albadiri wanajua haifanyi kazi kinachofuata wanakuundia Kamati ya kukuloga.