Hakuna kitunkama albadir katika uslaM wele ni wachawi kama wachaw wengine, kuhusu afande sele alitakiwa kuombewa uwongofu kwan bange zinamzidia,
Uslam umekataza kuonewa wala kuonea mtu, pia umekataza shirik kma hizo albadir, kuruka usiku n.k
Sawa Afande sele. Vp kuhusu kuabudu migonba?Wakuu kwema!
Zamani wazee wetu walikuwaga wajinga wengi wao walitishana mambo ya hovyo sana.
Hakuna uwepo wa Albadili wala laana ya mzazi wengi walilogwa.
Wazee wote wanajua hili kuwa hawana uwezo wa kumlaani mtu/mtoto akalaanika. Ninao ushahidi usio na shaka wa wazee waliowahi kujieleza katika hili.
Hata Albadiri waje masheikhe kutoka Uarabuni huko hawawezi kumdhuru mtu hata afanye kosa gani. Ndio maana kuna sheria za viboko na kuuawa kwa wakosaji kwenye sharia.
Wakishasoma Albadiri wanajua haifanyi kazi kinachofuata wanakuundia Kamati ya kukuloga.
Wapo watu walisomewa Albadiri mpaka leo wanadunda tena wanamafanikjo kuliko waliowasomea albadiri.
Wapo vijana waliolaaniwa na wazazi wao mpaka leo wanadunda na maisha yapo poa.
Chakushangaza wale waliobarikiwa na wazazi wao ndio wanasota na kuchapwa na maisha.
Povu Ruksa
Afande analindwa na Jua, kama bado linachomoza kila asubuhi yeye yuko safi mpaka Mungu wake atakapomhitaji.Kwani afande sele anasemaje ktk hili?
Nilimsikia shehe kishki akiapa Afande hatafika kipindi cha Ramadhan lkn bado anadunda Hadi sasa
Dini kwanza hairuhusu kumsomea mtu dua kama hizo.
Waislamu wanaofanya hizo hufanya kwa matakwa yao na faida zao binafsi.
Ndugu yangu hiyo kitu ipo.
Ukisomewa vizur kabisa
ahli al badr (the warriors of badr) tunakupoteza
Amechagua fungu lililo jema..MUNGU wake anatupa nuru sote,wenye haki na wasio hakiAfande analindwa na Jua, kama bado linachomoza kila asubuhi yeye yuko safi mpaka Mungu wake atakapomhitaji.
Hapa umewachokoza chatorians. Subiria mvua ya matusiMbona ile Alba dir iliyosomwa kule tanga baada ya Lisu kupigwa risasi mbona imeleta matokeo chanya.
Bangi imemsaidiaKwani afande sele anasemaje ktk hili?
Nilimsikia shehe kishki akiapa Afande hatafika kipindi cha Ramadhan lkn bado anadunda Hadi sasa
Nasikia mvuta bhangi alogeki kama mzungu ni kweli hili wadau?.Bangi imemsaidia
Hata kulogwa ni uongo tu.Wakuu kwema!
Zamani wazee wetu walikuwaga wajinga wengi wao walitishana mambo ya hovyo sana.
Hakuna uwepo wa Albadili wala laana ya mzazi wengi walilogwa.
Wazee wote wanajua hili kuwa hawana uwezo wa kumlaani mtu/mtoto akalaanika. Ninao ushahidi usio na shaka wa wazee waliowahi kujieleza katika hili.
Hata Albadiri waje masheikhe kutoka Uarabuni huko hawawezi kumdhuru mtu hata afanye kosa gani. Ndio maana kuna sheria za viboko na kuuawa kwa wakosaji kwenye sharia.
Wakishasoma Albadiri wanajua haifanyi kazi kinachofuata wanakuundia Kamati ya kukuloga.
Wapo watu walisomewa Albadiri mpaka leo wanadunda tena wanamafanikjo kuliko waliowasomea albadiri.
Wapo vijana waliolaaniwa na wazazi wao mpaka leo wanadunda na maisha yapo poa.
Chakushangaza wale waliobarikiwa na wazazi wao ndio wanasota na kuchapwa na maisha.
Povu Ruksa
Kishki alizingua, hapo hapo anamtaka Simon Sirro amkamate Afande Ganja, hapo hapo anamsalia albadir, sheikh Hana Imani hata robo kijikoKwani afande sele anasemaje ktk hili?
Nilimsikia shehe kishki akiapa Afande hatafika kipindi cha Ramadhan lkn bado anadunda Hadi sasa
Ukweli ni upi?Hata kulogwa ni uongo tu.
Hata wasabato hawaanguki mapepoNasikia mvuta bhangi alogeki kama mzungu ni kweli hili wadau?.