Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua.
Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na kujipa umuhimu ambao hana. Mambo kwa Lema yalishakuwa magumu akapiga hesabu akaona ni bora atoroke nchi.
Lakini amekuwa akitengeneza hadithi za kutaka kuuawa n.k ili aonekane alikuwa mtu mkubwa na muhimu. Ilhali ni mtu wa kawaida sana. Ambaye hata kichwani hana madini ukilinganisha na akina Tundu Lissu ambaye yupo well informed na educated.
Ifikie hatua tuambiane ukweli tu bila kuuma uma maneno.