Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

Una uhakika gani au ni mawazo yako tu. Mbona kila siku tu nasikia watu wa apoteza na wasiojulikana. Hao nao wako kwenye Mpango....!!?
 
Hebu tuambie Lissu hizo siri alizipata wapi wakati hakuwa mtumishi wa serikali, na alimpa nani na wapi hizo siri, ila uongo siupendi hivyo usidanganye.
 
Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na kujipa umuhimu ambao hana. Mambo kwa Lema yalishakuwa magumu akapiga hesabu akaona ni bora atoroke nchi.


Mleta mada yupo sahihi anaonekana ni Moya kati ya watu waliokuwa wanatekeleza mauji na utekaji wa wapingaji na wakosoaji wa sera za Jiwe.Naomba kuuliza list ya mauji ilikuwa ni Ben saa nane ,lissu na yule mwamba wa mara ?au Kuna ingine tena
 
Wote tu lema na lissu hawana sababu ya kua wakimbizi. Zitto katusaidia sana kutoa siri. Balozi za nchi fulani wali offer hela watu wawe wakimbizi kwa malengo ya nchi hizo.
Wale tunaomini kushambuliwa lissu ni kazi ya ndani ya chadema tunajua dola haijawahi kutaka kumtoa roho lissu. Alipoumizwa adui wa taifa letu wakamnyakua kwa ukimbizi.
Wote lema na lissu wameona faida ya biashara ya ukimbizi wala hawana haja kurudi. Wanakuja tu ku beep. Lema utaona kama atarudi na familia yake. Hawawezi kuacha kulishwa bure kwa kazi ya kusaliti nchi yao.
 
Tutajie walioitakia kuuwawa maana list unayo wewe ndiyo umethibitisha jina la Lemma halipo
 
TAFAKARI YA NENO KIDOGO: "Hata alipofariki Herode, tazama, malaika wa Bwana alimtokea Yusufu ktk ndoto huko Misri, akasema, Ondoka, umchukue mtoto na mamaye, ushike njia kwenda nchi ya Israeli; kwa maana wamekufa walioitafuta roho ya mtoto MATHAYO 2:19,20." KUMBE HAKUNA JAMBO JIPYA CHINI YA JUA. Mleta mada, kama wewe hukuwindwa na Herode ulipokuwa Israeli. shukuru. Lakini Herode hakuwa na utani wala mchezo.
 
lemma alikuwaga jambazi hivyo aliyoona na ubunge kakosa sasa akaona watu watalipiza akaamua kikimbia hapo hakuna siasa ni mhuni tu huyo nani atake kumuua kisiasa
 
Azory pia
 
Basi tusaidie footages za CCTV cameras tumuone aliyemshambulia Lissu? Kwanini serikali ya Jiwe ilificha hizo footages? Ilificha ili kumlinda nani, kuilinda CHADEMA au Jiwe alikuwa anajilinda mwenyewe?
Je serikali ya dikteta Jiwe kukataa usaidizi wa wapelelezi wabobezi wa kimataifa ilikuwa inailinda CHADEMA au ni kwamba Jiwe alikuwa anajilinda mwenyewe?
Hivi kwanini mauaji yote pamoja na utekaji na utesaji vilivyokuwa political related vilivyofanyika awamu ya Jiwe havikuwa vikifanyiwa upelelezi ili polisi wajimwambafai na zile press conferences walizokuwa wakizifanya kila wanapokamatwa wezi wa kuku na wakwapua simu?
Jiwe alitwa henchmen wake wamuue Lissu japo hawakufanikiwa ndiyo maana baada ya tukio waling'oa CCTV cameras na footages zikafichwa, ndiyo maana polisi wa zamu hawakuwepo lindoni na hakuna aliyewahi kuhojiwa kuhusu hilo na pia hakuna aliyewajibishwa, nyumba zote za eneo lile huwa zina garden boys na house maids lakini wote waliamriwa kutokuongea hata kuhusu milio ya risasi let alone kuyazingumzia magari(kwa waliyoyaona). Jiwe hasafishiki kwenye shambulio lile na mauaji mengine(political related killings) yaliyotokea wakati wa utawala wake, asingekuwa muhusika kwa jinsi alivyompenda sifa wahusika wangekamatwa na media zingeachwa zifuatilie proceedings za kesi. Jiwe alikuwa muuaji mwenye roho ya kishetani.
 
Kama hujui ni Bora ukae kimya
 
Lema alikimbia aibu ya kuporwa kiti cha ubunge
 
Pang'ang'a ww lissu alitoa wp hzo taarifa za ndani?
 
Lisu alitoa Siri zipi?
Kuhusu Lema umejuaje kwamba hakuna aliyetaka kumuua?umeoteshwa?umepiga ramli?
How did you come to that conclusion?
So you wanted him dead/killed to believe that some government operatives really wanted him dead?
 
Lisu alitoa Siri zipi?
Kuhusu Lema umejuaje kwamba hakuna aliyetaka kumuua?umeoteshwa?umepiga ramli?
How did you come to that conclusion?
So you wanted him dead/killed to believe that some government operatives really wanted him dead?
Conclusio yako ni ipi .?
 
Lile jambazi lililokimbilia kuzimu lini lilichagua wa kumuua?! hao watu 400 waliookotwa kwenye viroba ufukweni ulipewa mpango wa kuwaua? Acha hizo hiyo avatar yako unajua sana matendo yenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…