Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #21
Tajiri wa kusini nimeshakutext expert wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salute mkuu 🏋️View attachment 3216160
Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?
Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?
Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?
Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?
Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake
Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake
Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako
Ni hayo tu!
Duu hatar sana,,au ndo zile "naona leo una shati jipya"😂😂Hujaishi vijijin ndo maana wanakofatilia maisha ya watu huwez amini mtu anafatilia hadi nguo unazovaa,chakula unachokula na n.k fanyamasihara wewe.
Nimeipenda hii expert wanguNever be bullied into silence,never allow yourself to be made a victim,
Accept no one's definition of your life,but define yourself.
Love the life u live
Live the life u love.
I concure but that is European life style of "mind your own bussiness"......In our peasantry African traditional life you must mind other people's life if not they will mind your life by force......Never be bullied into silence,never allow yourself to be made a victim,
Accept no one's definition of your life,but define yourself.
Love the life u live
Live the life u love.
So what's the difference between minding their business and yours, because when we mind their business we just focus on their issues instead of focusing on ourselfI concure but that is European life style of "mind your own bussiness"......In our peasantry African traditional life you must mind other people's life if not they will mind your life by force......
hahahahahahaI concure but that is European life style of "mind your own bussiness"......In our peasantry African traditional life you must mind other people's life if not they will mind your life by force......
Lakini mm hapa nimekufuatilia. Uzi wako huu 👆 👆 ni nondo ya uhakika. Kongole expert. Ni hayo tu!View attachment 3216160
Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?
Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?
Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?
Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?
Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake
Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake
Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako
Ni hayo tu!
Sahihi kabisa. Unaweza kujichosha bure kimawazo kumbe hamna lolote. La msingi nadhani ni ww kuendelea na shughuli zako na kamakuna mtu anayekufuatilia ni wajibu wake aseme/aongee au atoe dukuduku lake kwako. Otherwise wee peta tuu.Sometime ni imagination zako tu expert wangu,sikatai kwamba hakuna ambao huwa hawawasemi wenzao laa,wapo lkn sio mara zote wanasema kinachobakia ni mawazo yako tu
100% correct and perfect true.Never be bullied into silence,never allow yourself to be made a victim,
Accept no one's definition of your life,but define yourself.
Love the life u live
Live the life u love.
Vipi wale wanaozungumza,au kutweza utu wako kwa maana unakuta mtu anakulengo wewe kwa madhaifu uliyonayo ili yeye achukue point.Sometime ni imagination zako tu expert wangu,sikatai kwamba hakuna ambao huwa hawawasemi wenzao laa,wapo lkn sio mara zote wanasema kinachobakia ni mawazo yako tu
Vijijini ni habari nyingine. Huku vijijini kuna mchanganyiko(Mixer) kiwango cha sgr. Wapo ambao hawana maono(vision) zaidi ya shamba au mifugo yake baas. Wengine akiamka anafatilia leo pombe iko kwa nani au ni wapi imeiva vizuri. Sasa katika "mchanganyiko" huo, ndo mana mengi yanajitokeza e.g. ushirikina, uzinzi, umbeya n.k. Halafu kutokana na kuwa hakuna mawazo mapya wapo kwenye vicious cycle wanatumia muda wa ziada kuongelea ya wengine e.g. fulani leo kavaa kinguo kimembana cjui anataka kutuonesha ma**lio ..., umesikia jinsi baba naniliu alivyojichanganya eti ana.... n.k. Kwa hiyo usishangae kuna utofauti wa kimawazo sio kama huko mjini.Hujaishi vijijin ndo maana wanakofatilia maisha ya watu huwez amini mtu anafatilia hadi nguo unazovaa,chakula unachokula na n.k fanyamasihara wewe.
Kinachoumiza watu wengi sio kusemwa kuhusu maisha, wengi tunaumizwa na matendo ya wazi kuhusu mazaifu yako wewe mwenyewe ukisikia,mioyo inatofautiana.View attachment 3216160
Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?
Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?
Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?
Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?
Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake
Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake
Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako
Ni hayo tu!
Ah! Mbona hilo jepesi sana mkuu?; Wewe jivunie sura yako, ipende sura yako uliyonayo -ikiwezekana watambie wenzio /watu kuhusu sura yako. Mshukuru Mungu kwa kukuumba jinsi ulivyo. Hakika utaona mabadiliko - uso wako utaanza kung'aa na mwili wako kunawiri. Kamwe usisononeke kwa umbile lako. Kumbuka Ur the best na hakuna wa kushindana na wewe kwani hakuna dunia nzima mtu mwenye sura kama yako. Atafanana fanana na wewe lakini sio kiuhalisi ni weweKinachoumiza watu wengi sio kusemwa kuhusu maisha, wengi tunaumizwa na matendo ya wazi kuhusu mazaifu yako wewe mwenyewe ukisikia,mioyo inatofautiana.
Mfano: Unakuta mtu labda muonekano wako au vile ulivyo unaonekana Huna mvuto kwa wengine kwa kulitambua hilo unaamua kuwa unafanya mambo yako lakini kupitia mikusanyiko au mijadala mtu anaamua tu kusema mtu unasura utadhani umeokotwa au sura mbaya kama gari imepata ajali.
Je?.mtu wa aina hii anaweza vumilia manyanyaso, japo kuna watu wanamuonekano mbaya zaidi lakini anacheka na kila mtu na ni kivutio kwa watu wengine
Nimeipenda hii, Ni hayo tu!😂😂Lakini mm hapa nimekufuatilia. Uzi wako huu 👆 👆 ni nondo ya uhakika. Kongole expert. Ni hayo tu!
Hao expert wangu,usilee ugonjwa, katu usivumilie kuvunjiwa heshima,ni bora ukaongea nao na kuwaambia ukweli kwamba haupendi hayo mambo ya.kuvunjiana heshimaVipi wale wanaozungumza,au kutweza utu wako kwa maana unakuta mtu anakulengo wewe kwa madhaifu uliyonayo ili yeye achukue point.
Kweli haya mambo yanaumiza sana na kushusha confidence na self esteem ya mtuKinachoumiza watu wengi sio kusemwa kuhusu maisha, wengi tunaumizwa na matendo ya wazi kuhusu mazaifu yako wewe mwenyewe ukisikia,mioyo inatofautiana.
Mfano: Unakuta mtu labda muonekano wako au vile ulivyo unaonekana Huna mvuto kwa wengine kwa kulitambua hilo unaamua kuwa unafanya mambo yako lakini kupitia mikusanyiko au mijadala mtu anaamua tu kusema mtu unasura utadhani umeokotwa au sura mbaya kama gari imepata ajali.
Je?.mtu wa aina hii anaweza vumilia manyanyaso, japo kuna watu wanamuonekano mbaya zaidi lakini anacheka na kila mtu na ni kivutio kwa watu wengine
Nimeipenda sana hii expert wangu,barikiwa sanaAh! Mbona hilo jepesi sana mkuu?; Wewe jivunie sura yako, ipende sura yako uliyonayo -ikiwezekana watambie wenzio /watu kuhusu sura yako. Mshukuru Mungu kwa kukuumba jinsi ulivyo. Hakika utaona mabadiliko - uso wako utaanza kung'aa na mwili wako kunawiri. Kamwe usisononeke kwa umbile lako. Kumbuka Ur the best na hakuna wa kushindana na wewe kwani hakuna dunia nzima mtu mwenye sura kama yako. Atafanana fanana na wewe lakini sio kiuhalisi ni wewe