Hakuna anayejali kuhusu wewe

Hakuna anayejali kuhusu wewe

View attachment 3216160

Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?

Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?

Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?

Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?

Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake

Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake

Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako

Ni hayo tu!
Salute mkuu 🏋️
 
Never be bullied into silence,never allow yourself to be made a victim,
Accept no one's definition of your life,but define yourself.

Love the life u live
Live the life u love.
I concure but that is European life style of "mind your own bussiness"......In our peasantry African traditional life you must mind other people's life if not they will mind your life by force......
 
So what's the difference between minding their business and yours, because when we mind their business we just focus on their issues instead of focusing on ourself

The idea here is not to dwell in others issues which are less significant and instead we must mind our on business
 
View attachment 3216160

Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?

Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?

Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?

Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?

Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake

Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake

Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako

Ni hayo tu!
Lakini mm hapa nimekufuatilia. Uzi wako huu 👆 👆 ni nondo ya uhakika. Kongole expert. Ni hayo tu!
 
Sometime ni imagination zako tu expert wangu,sikatai kwamba hakuna ambao huwa hawawasemi wenzao laa,wapo lkn sio mara zote wanasema kinachobakia ni mawazo yako tu
Sahihi kabisa. Unaweza kujichosha bure kimawazo kumbe hamna lolote. La msingi nadhani ni ww kuendelea na shughuli zako na kamakuna mtu anayekufuatilia ni wajibu wake aseme/aongee au atoe dukuduku lake kwako. Otherwise wee peta tuu.
 
Hujaishi vijijin ndo maana wanakofatilia maisha ya watu huwez amini mtu anafatilia hadi nguo unazovaa,chakula unachokula na n.k fanyamasihara wewe.
Vijijini ni habari nyingine. Huku vijijini kuna mchanganyiko(Mixer) kiwango cha sgr. Wapo ambao hawana maono(vision) zaidi ya shamba au mifugo yake baas. Wengine akiamka anafatilia leo pombe iko kwa nani au ni wapi imeiva vizuri. Sasa katika "mchanganyiko" huo, ndo mana mengi yanajitokeza e.g. ushirikina, uzinzi, umbeya n.k. Halafu kutokana na kuwa hakuna mawazo mapya wapo kwenye vicious cycle wanatumia muda wa ziada kuongelea ya wengine e.g. fulani leo kavaa kinguo kimembana cjui anataka kutuonesha ma**lio ..., umesikia jinsi baba naniliu alivyojichanganya eti ana.... n.k. Kwa hiyo usishangae kuna utofauti wa kimawazo sio kama huko mjini.
 
View attachment 3216160

Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje?

Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha?

Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri?

Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri?

Ngoja nikwambie kitu expert,jua kwamba hakuna anayejali kuhusu wewe,kila mtu ana mambo yake binafsi yanayo mshughulisha,machoni pako na mawazoni mwako unaweza hisi watu wanakufuatilia au wanazungumza kuhusu wewe ila ukweli ni kwamba,kila mtu ana dili na mambo yake

Kwahiyo acha kufikiri kwamba watu wanakufuatilia laa,acha kuwaza kwamba watu wanakuwekea kipaumbele,jibu ni hapana,kila mtu anashughulishwa na mambo yake

Kwahiyo you are in your own,fanya mambo yako na ishi vile unavyoishi maadamu humkwazi mtu,haumvunjii mtu heshima yake,ishi maisha yako

Ni hayo tu!
Kinachoumiza watu wengi sio kusemwa kuhusu maisha, wengi tunaumizwa na matendo ya wazi kuhusu mazaifu yako wewe mwenyewe ukisikia,mioyo inatofautiana.

Mfano: Unakuta mtu labda muonekano wako au vile ulivyo unaonekana Huna mvuto kwa wengine kwa kulitambua hilo unaamua kuwa unafanya mambo yako lakini kupitia mikusanyiko au mijadala mtu anaamua tu kusema mtu unasura utadhani umeokotwa au sura mbaya kama gari imepata ajali.

Je?.mtu wa aina hii anaweza vumilia manyanyaso, japo kuna watu wanamuonekano mbaya zaidi lakini anacheka na kila mtu na ni kivutio kwa watu wengine
 
Ah! Mbona hilo jepesi sana mkuu?; Wewe jivunie sura yako, ipende sura yako uliyonayo -ikiwezekana watambie wenzio /watu kuhusu sura yako. Mshukuru Mungu kwa kukuumba jinsi ulivyo. Hakika utaona mabadiliko - uso wako utaanza kung'aa na mwili wako kunawiri. Kamwe usisononeke kwa umbile lako. Kumbuka Ur the best na hakuna wa kushindana na wewe kwani hakuna dunia nzima mtu mwenye sura kama yako. Atafanana fanana na wewe lakini sio kiuhalisi ni wewe
 
Vipi wale wanaozungumza,au kutweza utu wako kwa maana unakuta mtu anakulengo wewe kwa madhaifu uliyonayo ili yeye achukue point.
Hao expert wangu,usilee ugonjwa, katu usivumilie kuvunjiwa heshima,ni bora ukaongea nao na kuwaambia ukweli kwamba haupendi hayo mambo ya.kuvunjiana heshima

Sometime tupaze sauti kuonyesha kutofurahishwa kwetu kwa mambo yao

Wakiwa wakaidi basi wewe badilisha mtazamo wako kuhusu wao,wadharau tu na songa mbele na maisha yako,kuna msemo unasema "if you can't change something then change your attitude toward that thing"
 
Kinachoumiza watu wengi sio kusemwa kuhusu maisha, wengi tunaumizwa na matendo ya wazi kuhusu mazaifu yako wewe mwenyewe ukisikia,mioyo inatofautiana.

Mfano: Unakuta mtu labda muonekano wako au vile ulivyo unaonekana Huna mvuto kwa wengine kwa kulitambua hilo unaamua kuwa unafanya mambo yako lakini kupitia mikusanyiko au mijadala mtu anaamua tu kusema mtu unasura utadhani umeokotwa au sura mbaya kama gari imepata ajali.

Je?.mtu wa aina hii anaweza vumilia manyanyaso, japo kuna watu wanamuonekano mbaya zaidi lakini anacheka na kila mtu na ni kivutio kwa watu wengine
Kweli haya mambo yanaumiza sana na kushusha confidence na self esteem ya mtu

Expert iko hivi,siku zote huwa kinachotuumiza sio maneno ya watu bali ni tafsir ambayo huwa tunaifanya kutokana na maneno ya watu

Mfano mimi hakuna tusi baya ambalo utanitukana likaniumiza,unajua kwa nin? Kwasababu silifanyi liwe personal,nakuona wewe kama mpuuzi mmoja hivi

Mfano ukiniita mimi mngese,je ni kweli mm ni mngese,jibu hapana najijua mimi siko hivyo,kama hivyo ndivyo je kuna haja gani ya kuumia?

Umeona hapo kinacho mata ni je,unalichukuliaje jambo hilo

Sasa tuje kwenye labda muonekano wa mtu,kikubwa ni kujikubali for who you are,hilo ni jambo la kwanza,kwamba wewe ni special na hio ndio inakufanya uwe tofauti na wao

Haijalishi wao wanakuonaje lkn kubali ndani ya nafsi yako kwamba hiyo ni wewe ndio jinsi ulivyoumbwa,no body can change that,ebu jiulize why bothering kuumizwa na kitu ambacho huwezi kukibadilisha?

Jikubali na jua wewe uko special na Mungu amekuumba hivyo kwasababu maalumu
 
Ah! Mbona hilo jepesi sana mkuu?; Wewe jivunie sura yako, ipende sura yako uliyonayo -ikiwezekana watambie wenzio /watu kuhusu sura yako. Mshukuru Mungu kwa kukuumba jinsi ulivyo. Hakika utaona mabadiliko - uso wako utaanza kung'aa na mwili wako kunawiri. Kamwe usisononeke kwa umbile lako. Kumbuka Ur the best na hakuna wa kushindana na wewe kwani hakuna dunia nzima mtu mwenye sura kama yako. Atafanana fanana na wewe lakini sio kiuhalisi ni wewe
Nimeipenda sana hii expert wangu,barikiwa sana
 
Mzee wangu.......

Ishi na fanya kile kinachokupa amani ishi kwenye mipaka,

Maisha yako yanahitaji privacy sana vinginevy watu sio wazurii hata kidogo
 
Back
Top Bottom