Wamegoma, wamekwepa lawama ya matambikohakuna hata padri wa kuwakilish? TEC wako wap?
Amewakilisha Parokohakuna hata padri wa kuwakilish? TEC wako wap?
serikali inafanya matambiko?Wamegoma, wamekwepa lawama ya matambiko
Maaskofu wote wa Kanisa Katoliki Tanzania wako Rome, Italia pale Vatican...Jana walikuwa na kikao na Papa..Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Catholic wanastaafu kumbe!? Mi nilidhani kifo ndio mwisho wao.Hakuna hata askofu mstaafu awakilishe!
Tatizo ni nini sasa?Kwani lazima wawepo,waliopo wanatosha eehIkulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Umemaliza mkuu. Kunywa pepsi ntakupa mkuuKanisa Moja Takatifu la Mitume
Sidiefu mstaafu yuko huko pia
Wote wapo Vatican kwenye shughuli za kikanisaIkulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Kiswahili sahihi ni kwamba walimpa taarifa kwamba wanaenda Vatican sio kumuomba udhuru, ukisema kuomba maana yake ulikuwa na uwezo wa kuzuia au kuruhusu.Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Angekuja Charles ila 😷hakuna hata padri wa kuwakilish? TEC wako wap?
Wapo na Mabeyo ROMA ITALYIkulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Sasa kama wameomba udhuru wewe unachokonoa nini wakati wenzio wapo hija yao kwa papa? Acha fitna.Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.
Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?
Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Rais wa nchi ana uwezo wa kumzuia mwananchi yeyote asitoke nje ya nchi na ikawa hivyo.Kiswahili sahihi ni kwamba walimpa taarifa kwamba wanaenda Vatican sio kumuomba udhuru, ukisema kuomba maana yake ulikuwa na uwezo wa kuzuia au kuruhusu.
Padri wa TEC alikuwepohakuna hata padri wa kuwakilish? TEC wako wap?
Labda Padri Dr Slaahakuna hata padri wa kuwakilish? TEC wako wap?