Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

Tetesi: Hakuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki anayehudhuria ufunguzi wa ikulu ya Dodoma siku ya leo. Walimwandikia rais Samia kuhusu hilo

Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.

Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?

Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Wamejifunza ya nyuma sasa wanachukua tahadhari mapema kabisa..
Bwana yule hawatamsahau walipuputikaaa watumishi hao.
 
Sio wote wako Roma. Wengi tu wamebaki nyumbani. Haiwezekani hata siku moja maaskofu wao wote wakawa sehemu moja kwa wakti mmoja hata kwenye sherehe zao wenyewe!
Mkuu mbona unawasemea. Wote wapo Roma kikazi maana wanamkutano na papa kila miaka mitano. Maaskofu waliopo nchini na wastaafu tu, na mstaafu kama haupo kwenye jimbo mahalia huwezi kufanya chochote bila ruhusa ya mwenye jimbo.

Mfano kuna mtu kamtaja Askofu Lebulu, hawezi kwenda Dodoma kufanya hata ibada ya misa bila kibali cha askofu wa Dodoma. Ni hayo tu
 
Attachments

  • IMG-20230519-WA0058.jpg
    IMG-20230519-WA0058.jpg
    125.5 KB · Views: 5
Rais wa nchi ana uwezo wa kumzuia mwananchi yeyote asitoke nje ya nchi na ikawa hivyo.
Sio kwa maaskofu wala mapadri wa Kanisa Katoliki...na asithubutu

Kanisa Katoliki ni supreme kwa serikali
 
Mathayo 16:23 NEN

Lakini Yesu akageuka na kumwambia Petro, “Rudi nyuma yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Moyo wako hauwazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.”

PETRO aliambiwa arudi nyuma kwenye mazingira gani?
Na kipi kilitangulia?
Pia Usisahau alipomkata Yule askari sikio nini kilitokea😅
Inahitaji ufunuo wa roho mtakatifu kuelewa neno
Yesu ni Mungu mkuu
 
Walioenda Vatican ni maaskofu wote wa majimbo pamoja na mapadre wasimamizi wa majimbo yasiyo na maaskofu. Hata hivyo, Kuna maaskofu wengi wastaafu kama Mwadhama Polcarp Cardinal Pengo, Wahasham Maaskofu Wastaf Josephat Lebulu(ARUSHA), Damian Kyaruzi( Sumbawanga) na Nobert Mtega(Songea).

Badala yake TEC imewakilishwa na Padre. Yote ni mema.
Kama kanisa , tunaishukuru serikali kwa mwaliko.
Norbert Mtega si ni mgonjwa wa akili (KIFAFA) amepona lini??
 
Ikulu mpya ya Dodoma inafunguliwa leo, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwa ni pamoja na viongozi wastaafu na viongozi wa dini.

Hukuna askofu yeyote wa Kanisa Katoliki kwenye ufunguzi huu! Wapo wapi?

Rais Samia amesema kuwa maaskofu walimwandikia barua kuomba udhuru kuwa watakwenda Roma kwa hija. Maaskofu Katoliki wote wapo Roma ambapo licha ya kufanya hija, watafanya mkutano wao wa Ad limina (mkutano wa kila baada ya miaka 5) na Baba Mtakatifu.
Mmezoea uzushi, fitna na uchochezi, mmevimbiwa amani. Km hawapo hoja kubwa ni nini.
 
Back
Top Bottom